Vipi suala hili kwa wanaume

Vipi suala hili kwa wanaume

kutaka ukubwa na kuheshimika, kulinda familia na kugombea wanawake Lol

weka

mmetisha,mchanganyiko wote huu wa tabia za wanyama pori,wanyama wa kufungwa ndani yenu?ni hapo tabia zote zitakapotaka kufanya kazi kwa wakati mmoja,sipati picha wala negative.................lolest
 
Nimekuelewa zaidi ya ufikiriavyo,
nikaongeza na swala lingine moja wapo kati ya nature zenu "kutia mabeki tatu reference ikiwa ni Ibrahim alilala na mjakazi wake" na nimekukumbusha kuwa "mmesahau na kuhudumia mwanamke ni nature yenu pia"

from there haya nieleweshe nlipochanganya

Okay poa kama umeelewa.....mi nimeweka general picture kwenye minds za wanaume thats why huoni mtu akipinga hapa ni Naked fact

Aisee kula mabeki 3 sio mchezo huyo nae si hajizuie kwa kweli unaanzaje kumla beki tatu

Kuhudumia ni nature yetu pia.....(ila kama kuhudumia ni nje ya mada vile) Lol
 
mmetisha,mchanganyiko wote huu wa tabia za wanyama pori,wanyama wa kufungwa ndani yenu?ni hapo tabia zote zitakapotaka kufanya kazi kwa wakati mmoja,sipati picha wala negative.................lolest

Tisha mbaya....
 
  • Thanks
Reactions: lin
Yaani natamani siku Muumba afanye hiyo Dushelele lingekuke kuwa kama pencil inavyopungua ikichongwa, Ukichapa inapungua, ukichapa inapungua hadi kirudi kiwe kama kifutio...Sijui utaingiza wapi tena zaidi ya kuduwaa km khanisi

tehe tehe tehe tehe kifutio?
yani wanachekesha kweli,sijui wanapata faida gani kuwa na wanawake wengi?unakuta hata huyo mmoja tu hawezi kumridhisha kwa bed,sasa hao wengine wataridhishwa kweli?kuwahudumia kwenye ni shida akiombwa laki tatu kashakuja haraka kuandika thread jf
Mwanaume anayejitambua na anaishi kwa malengo hawezi kuendekeza huo upuuzi
 
Hata simba. Ni sifa ya mwanaume yeyote kwa sababu wanawake ni kama maua, kila ua lina uzuri wake.
 
refer kwenye maandiko ya vitabu vya MUNGU,bible na quran wazee wote walikuwa na wake wengi,haya mambo ya mke mmoja kayaleta Yesu ni ni kwa sababu alikuwa hajaoa ,angeoa angejua kuwa hata mke mmoja hatoshi ,hata babu yako alikuwa na wake wengi uongo kweli

Uongo! We unaiga mfano wa wazee/binadamu au unafuata maagizo ya Mungu?
 
Vere true...utaona watakavosimamisha sharubu kutetea kuwa hiyo ndo nature
mwanaume kuwa na wanawake wengi nature! kutembea na beki tatu nature!
nature my a.s.s hakuna cha nature wala professor ufuska tu.

msituone tumekaa kimya hapa mbona na nyinyi kusingizia wanaume mimba zisizo zao mnaona ndo habari ya mjini semeni hapo pia sio hayo tu!!!
 
msituone tumekaa kimya hapa mbona na nyinyi kusingizia wanaume mimba zisizo zao mnaona ndo habari ya mjini semeni hapo pia sio hayo tu!!!

naona umekuja na pilipili manga mkononi kuziweka kwenye chai mbona sio mahala pake? subiri muda wa uji utaziweka....
 
Watu hapa naona hawajamuelewa mtoa mada.....mtoa mada hajasema eti kila mwanaume anachepuka...... anasema kwamba mwanaume yeyote ana asili ya kutamani mara kwa mara...hata kwenye biblia tunaliona hilo jamani.... Daudi pamoja na kumpenda Mungu na toba aliyokuwa nayo mbele za Mungu alianguka kwenye uzinzi....hatujiulizi ni kwa nini hakuanguka kwenye dhambi nyingine isipokuwa kwenye uzinzi tu???? Believe or not...mwanaume yeyote ni poligamous in nature. Mwanaume akiwa loyal kwa mkewe ni kwa sababu kuna akili inayomzuia kufanya hivyo....pengine ni sababu za kidini...anaogopa kumtenda Mungu dhambi, Inawezekana ni mapenzi tu na heshima aliyonayo kwa mkewe hataki kumuumiza, pengine ni heshima aliyojijengea kwenye jamii yake anaona watu watamuonaje, pengine anaogopa magonjwa yatokanayo na kujamiiana na kadhalika.....kwa hiyo mwanaume anaweza kuwa hachepuki physically lakini psychologically anachepuka sana tu huo ndio ukweli hata mkibisha. Mwanaume yeyote ukitoa ile rationality ambayo kila mtu anayo wanapenda wabadilishe ladha tofauti tofauti....hivyo ndivyo walivyo
 
Tatizo kitufe cha like ni kimoja...kula LIKE LIKE LIKE LIKE

kisaikolojia nimeshachepuka sana kwa kweli........ila ipo siku tu
 
Siku zote anayekula kwa mikono miwili hashibi, tusing'ang'anie ndoa zaidi ya moja wakati ata moja tulizonazo zinatushinda, tumesahau tulipo? mbona kila kukicha baadhi ya vidume wenzetu wamekuwa wakitafta tiba ya nguvu za kugonoka?
tulitatue kwanza tatizo letu ndiyo tuendelee na katiba mpya ya kupata ndoa zaidi ya moja.
 
Hata walio kwende ndoa moja full udenda na vimwana wa nje....full makopakopa.....

issue si ndoa issue ni wanaume wako polygamous na ndio wako hivyo piga ua
 
Back
Top Bottom