Vipi suala hili kwa wanaume

Vipi suala hili kwa wanaume

Mwanaume mwenye kuoa/mwenye kuwa na mwanamke mmoja ujue kabisa ana NAKISI kwenye nguvu zake
 
Unajisahau uko na mkeo anapita mwanamke mzuuuri unakodoa majicho,......hatari sana, aisee ni shiiidar

Yaani sipendi hii tabia nikiwa na baba nanihii, ila na mie nimeanza kumrusha roho akipita mkaka kapendeza namuangaliaaaa basi anakasirikaaa uwiii bilaaaa bilaaaaa weraaaa
 
Africa tu ndiyo hii ishu ipo michepuko wild love ila wazungu wanaheshimu sana mahusiano
 
Kimsingi inabidi sheria na desturi viruhusu wanaume tuoe wake 2+ ili kubalance vingnevyo wadada wengne watakosa tukiendelea kuoa mmoja mmoja

Sheria na desturi ya kuongoza maisha yako (ya mapenzi) mpaka mtu akutungie kwa niaba ili uruhusiwe?!
 
hata mimi hivyo ndio nijuavyo kuwa hamna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja
 
hata mimi hivyo ndio nijuavyo kuwa hamna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja

Dhana potofu kabisa hiyo. Na asemae hawezi kuwa na mwanamke mmoja ni kujiendekeza na umalaya tu.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Back
Top Bottom