Vipi suala hili kwa wanaume

Vipi suala hili kwa wanaume

Dhana potofu kabisa hiyo. Na asemae hawezi kuwa na mwanamke mmoja ni kujiendekeza na umalaya tu.

Unajua issue si kwamba mtu hawezi kuwa na mwanamke mmoja ....hapa tunasema wanaume likelyhood ya yeye kuwa na mwanamke mmoja huku akiwatamani wengine ni kawaida...

so kuwa na mmoja inawezekana kabisa na lazima inaambatana na sababu flani maalumu za hivyo aidha heshima yake "reputation" ikiwa atajulikana nae anapenda wanawake wengine, au imani za dini au circumstances flani flani

ila what is Real Fact ni kuwa wanaume wako polygamous na walau anatamani ajaribu au kuonja mwanamke mwingine hata kama hafanyi....hii ndio Naked truth
 
kujiendekeza tuuuuuu!!!"

Hamna aisee ndo wanaume walivyo, wengi tunajizuia ila kwa tabu sana...pata mifano kwa viumbe vingine "dume"

  • jogoo
  • dume la ng'ombe
  • beberu
  • Dume la njiwa

kuna hali flani ya udume dume...inaambatana na kuwa na majike mengi...

sijui unanipata?
 
Mkuu uko sawa kabisa kabisa yan wewe na mtoa mada nawaunga mkono kwa asilimia mia moja na tano.... Wabishe tu lakini ukweli ndo huo
 
Iliwahi kukutokea nini? kwa baba nanihii....
 
Weweeee Evelyne Salt mwa mwa mwa mwaa

Vere true...utaona watakavosimamisha sharubu kutetea kuwa hiyo ndo nature
mwanaume kuwa na wanawake wengi nature! kutembea na beki tatu nature!
nature my a.s.s hakuna cha nature wala professor ufuska tu.
 
Wanaopenda kutumia hizo fimbo zao kuchapa chapa utaona comment zao tu wanavyosupport.....
Hakuna lolote kupenda kuendekeza tabia ya ufuska tuu..
Wengine mnapenda kuchapa chapa wkt hata huyo mmoja kumridhisha huwezi...Si bora umridhishe mmoja...Na uepukane na kuleta magonjwa from outside

Habari zenu wana jamvi

kuna msemo kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa wanaume wote rijali ni Polygamous au wengine wanasema ni womanizers au kwa kiswahili kizuri wanaume rijali ni wanapenda kumiliki japo mara moja katika maisha yake mwanamke zaidi ya mmoja

  • wanaume wengi katika maisha yao hata wakiwa na mke mmoja anaweza kuwa anatembea na mwanamke wa nje kisirisiri
  • inawezekana hasiwe na mwanamke ila anatamani sana wanawake flani flani na sifa flani flani japo ana mke ndani
  • kujidhibiti kwa mwanaume kutokuwa na mwanamke nje inawezekana pia kwa sababu za imani au jambo lingine ila kuhalisia wanaume hupenda mwanamke zaidi ya mmoja kadiri umri unavyosonga
  • kuzaa nje kwa wanaume wengi ni jambo la kawaida sana katika jamii
  • kuthaminisha kwa "MACHO au KUTOKWA UDENDA" wanawake wa nje hata kama hutowatongoza ni kawaida sana

sasa mi najiuliza sana ama kwa kuwa wanaume ni kama madume ya wanyama au ndege tu?

si ajabu zizi la ng'ombe 10 kukawa na dume moja, si ajabu jogoo mmoja kwa matetea 4 na maisha yanaenda

KUNA UKWELI HAPA?

nawasilisha
 
Wanaopenda kutumia hizo fimbo zao kuchapa chapa utaona comment zao tu wanavyosupport.....
Hakuna lolote kupenda kuendekeza tabia ya ufuska tuu..
Wengine mnapenda kuchapa chapa wkt hata huyo mmoja kumridhisha huwezi...Si bora umridhishe mmoja...Na uepukane na kuleta magonjwa from outside
Vitombi tu hao mbona swala la kuhudumia mwanamke hawalihesabu kwenye hizo nature
wamesahau kuwa ni nature yao pia kuprovide sie tukae nyumbani. shangaa hapa kujiliza liza tu oooh wanawake wanaomba pesa thats nature!!!!
 
Hili jamb ukitazan kw nje n rahs san bt kw ndan yak kna sabab nyng za kiiman,mila na teknologia pia,kna badh ya wanawake wana izo mamb pia japo wanaume n kias kkbwa..Ila kua na mtu mmja yaezkana kbsaa
 
Hamna aisee ndo wanaume walivyo, wengi tunajizuia ila kwa tabu sana...pata mifano kwa viumbe vingine "dume"

  • jogoo
  • dume la ng'ombe
  • beberu
  • Dume la njiwa

kuna hali flani ya udume dume...inaambatana na kuwa na majike mengi...

sijui unanipata?

kwa hiyo nyie wanaume mmechukua hiyo tabia ya kuwa na wanawake wengi from hayo mabeberu,majogoo,manjiwa & mang'ombe?hamna tabia nyingine ambazo mnaweza pia mkawa mmezichua tofauti na hiyo hata kama ni from simba,chui,kifaru,nyati,nyoka e.t.c
JF oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wanaopenda kutumia hizo fimbo zao kuchapa chapa utaona comment zao tu wanavyosupport.....
Hakuna lolote kupenda kuendekeza tabia ya ufuska tuu..
Wengine mnapenda kuchapa chapa wkt hata huyo mmoja kumridhisha huwezi...Si bora umridhishe mmoja...Na uepukane na kuleta magonjwa from outside

Ndo maana nikasema RIJALI....sio maji kupwa maji kujaa...

ila hata hao maji kupwa maji kujaa nao wanapenda different tastes...

Eti kuchapa chapa....ahahahahahahaha hata kuoa tunaoa pia Lol
 
kwa hiyo nyie wanaume mmechukua hiyo tabia ya kuwa na wanawake wengi from hayo mabeberu,majogoo,manjiwa & mang'ombe?hamna tabia nyingine ambazo mnaweza pia mkawa mmezichua tofauti na hiyo hata kama ni from simba,chui,kifaru,nyati e.t.c
JF oyeeeeeeeeeeeeeeeee

kutaka ukubwa na kuheshimika, kulinda familia na kugombea wanawake Lol

weka
 
yaani viungo vyoote umeweka chumvi, limao, pilipili.....aaahhh sooo nice baby

Vitombi tu hao mbona swala la kuhudumia mwanamke hawalihesabu kwenye hizo nature
wamesahau kuwa ni nature yao pia kuprovide sie tukae nyumbani. shangaa hapa kujiliza liza tu oooh wanawake wanaomba pesa thats nature!!!!
 
Yaani natamani siku Muumba afanye hiyo Dushelele lingekuke kuwa kama pencil inavyopungua ikichongwa, Ukichapa inapungua, ukichapa inapungua hadi kirudi kiwe kama kifutio...Sijui utaingiza wapi tena zaidi ya kuduwaa km khanisi

kwa hiyo nyie wanaume mmechukua hiyo tabia ya kuwa na wanawake wengi from hayo mabeberu,majogoo,manjiwa & mang'ombe?hamna tabia nyingine ambazo mnaweza pia mkawa mmezichua tofauti na hiyo hata kama ni from simba,chui,kifaru,nyati,nyoka e.t.c
JF oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Vitombi tu hao mbona swala la kuhudumia mwanamke hawalihesabu kwenye hizo nature
wamesahau kuwa ni nature yao pia kuprovide sie tukae nyumbani. shangaa hapa kujiliza liza tu oooh wanawake wanaomba pesa thats nature!!!!

hivi point yangu ya thread uliipata dada angu....naona kama unachanganya kitu kidogo hapo
 
Nimekuelewa zaidi ya ufikiriavyo,
nikaongeza na swala lingine moja wapo kati ya nature zenu "kutia mabeki tatu reference ikiwa ni Ibrahim alilala na mjakazi wake" na nimekukumbusha kuwa "mmesahau na kuhudumia mwanamke ni nature yenu pia"

from there haya nieleweshe nlipochanganya
 
nadhani hapa mnataka kuhalalisha michepuko,,,,, jifanyie kimya kimya......kuhamasishana noma.....ila kuna kaukweli.....
 
Back
Top Bottom