Vipi mshahara wa November?

Mimi kwa uelewa wangu hadi sasa uchumi utakua vizuri serikalini lakini kwa wananchi wa kipato cha chini noooooo hamna kitu ni fedheha tupu
watu wanashindia kahawa ma mihogo duu kweli hii nchi ya viwanda
 
ukichukua nipitishie deni langu kabisaa ili tumalizane mkuu.
 
Jamani vp wadau salio tayari au bado?hali yangu inazidi kuwa mbaya kila kukicha ndg zangu

Vumilia tu Mkuu kwani wenzako Wafanyakazi wa Uhuru Media sasa wana mwezi wa 10 hawajalipwa na hawalalamiki huku wakiwa wameshakomaa kwa ' kudhulumiwa '.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…