kwani wanapokuwa nchini mwao wanachepuka?
Mkuu kwani ziarani huwa hawaambatani na first lady?Mmmm wakiwa kwenye aridhi yao asee nadhani kuna ugumu wake
Maana First Lady atakuwa anabana penalty mwanzo mwisho
Na popote atakapoingia kukodi hotel wanamjuwa labda apigie kwenye gari kama watumishi wa mungu wanavyofanya.
Hiyo sawa mkuu
Nimejiuliza anatumia mbinu gani kumvuta hotelini?
Nijuwavyo misafara ya marais wanakuwepo watu wengi sana na walinzi humlinda masaa 24 hapo inakuwaje?
Hiyo sawa mkuu
Nimejiuliza anatumia mbinu gani kumvuta hotelini?
Nijuwavyo misafara ya marais wanakuwepo watu wengi sana na walinzi humlinda masaa 24 hapo inakuwaje?
Iikulu kuna kamati maalum kwa ajili ya wageni, mgeni anapofika kwa mfano wa kiume kamati maalum ya maandalizi (usalama wa taifa) wanamuuliza mzee unapenda type gani, anasema llabda mfupi, mweupe, mrefu au mweusi, usalama wa taifa wanamleta muhusika mara moja. Na wasichana hawa huwa tayari wameandaliwa na wapo tayari mda wote, wakati mwengine kama kiongozi anaenda labda Dubai mdada anweza kuondoka wiki kabla kutangulia mahala husika
Hao mawaziri na raisi wao huchepuka sanaaaa Tu ,wale wenyeji wao huwatafutia makahaba wanaojiuzaa,au kunakua na mademu special wanaandaliwa akitaka Tu anapewaa,hao walinzi wana siri mno wanajua kila kitu,,aliyekua hafanyi upuuzi ni mwl Nyerere tu
mkuu mi sio muongo ninaongea nikiwa na experiance kabisaduuh kuna watu waongo jf humu!!