Vipi kuhusu Raisi wanapokuwa Ziarani wanaweza kuchepuka?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,836
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu/watu wanapopata safari za kikazi au kupumzika wengi hushikwa na hamu ya kuchepuka iwe ni mwanamke/mwanaume.

Mifano ya haraka ni watu wanapoenda kwenye semina mikoani au wao kuja Dar. Au wafanyabiashara kuja Dar au kwenda mikoani kupeleka biashara zao. Nimefanya utafiti wengi wao huchepuka pindi wafanyapo safari hizo.

Swali: Vipi kuhusu watu wenye vyeo vikubwa kama Raisi na Mawaziri wakuu wanapofanya safari za kikazi nje ya nchi kwa week kadhaa wanauwezekano wa kuchepuka?

Kama wanaweza, ebu mwenye uelewa wa ile misafara je, hapa tubadilishane uzoefu mbinu waheshimiwa wanazotumia kuvuta totozi wawapo kwenye Ziara.

Tumeshuudia hata mastaa wakubwa waliokuja tanzania kama samweli Etoo alichepuka so kunauwezakano hata Raisi akachepuka kama hakuongozana na mke wake kwenye Ziara husika?
 
Rais ni binadamu kama wewe na mimi. Ndiyo jibu lake.

Hiyo sawa mkuu
Nimejiuliza anatumia mbinu gani kumvuta hotelini?
Nijuwavyo misafara ya marais wanakuwepo watu wengi sana na walinzi humlinda masaa 24 hapo inakuwaje?
 
kwani wanapokuwa nchini mwao wanachepuka?

Mmmm wakiwa kwenye aridhi yao asee nadhani kuna ugumu wake
Maana First Lady atakuwa anabana penalty mwanzo mwisho
Na popote atakapoingia kukodi hotel wanamjuwa labda apigie kwenye gari kama watumishi wa mungu wanavyofanya.
 
Mmmm wakiwa kwenye aridhi yao asee nadhani kuna ugumu wake
Maana First Lady atakuwa anabana penalty mwanzo mwisho
Na popote atakapoingia kukodi hotel wanamjuwa labda apigie kwenye gari kama watumishi wa mungu wanavyofanya.
Mkuu kwani ziarani huwa hawaambatani na first lady?
 
wengine wao ndo hutumia nafasi za ziara kuchepuka kiulani kabisa.
 
Hiyo sawa mkuu
Nimejiuliza anatumia mbinu gani kumvuta hotelini?
Nijuwavyo misafara ya marais wanakuwepo watu wengi sana na walinzi humlinda masaa 24 hapo inakuwaje?

Mkuu, walinzi hawalindi ndoa ya Rais bali mwili usidhurike, jamaa ndiye mtoa oda so so huweza tumia mbinu za walinzi wake binafsi atoke nje kama anony, na wao wakiwa kwa distance kucheki usalama. Au huweza dili na viongozi wenzie au marafiki binafsi kuchepuka ama kuletea mchepuko hotelini bila kutoka.
 
Kibo10

ma samweli Etoo alichepuka so kunauwezakano hata Rais akachepuka kama hakuongozana na mke wake kwenye ziara husika?[/QUOTE]

aisee ni ngum sana kwa mfano Obama alipotua bongo, huo mchapuko ungepta njia ipi?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo sawa mkuu
Nimejiuliza anatumia mbinu gani kumvuta hotelini?
Nijuwavyo misafara ya marais wanakuwepo watu wengi sana na walinzi humlinda masaa 24 hapo inakuwaje?

Kwa nini uandikie mate, mwuulize rais si yupo?! na marais wastaafu si wapo?!
 
Kwa mtu km Obama ni ngumu labda kwa afanye na wanausalama wake. Lakini kwa jk rahic sana. Anawatuma wanausalama wake wamtafutie kirembo afu anapelekewa ila hatakesha nae
 
Iikulu kuna kamati maalum kwa ajili ya wageni, mgeni anapofika kwa mfano wa kiume kamati maalum ya maandalizi (usalama wa taifa) wanamuuliza mzee unapenda type gani, anasema llabda mfupi, mweupe, mrefu au mweusi, usalama wa taifa wanamleta muhusika mara moja.

Na wasichana hawa huwa tayari wameandaliwa na wapo tayari mda wote, wakati mwengine kama kiongozi anaenda labda Dubai mdada anweza kuondoka wiki kabla kutangulia mahala husika
 
Iikulu kuna kamati maalum kwa ajili ya wageni, mgeni anapofika kwa mfano wa kiume kamati maalum ya maandalizi (usalama wa taifa) wanamuuliza mzee unapenda type gani, anasema llabda mfupi, mweupe, mrefu au mweusi, usalama wa taifa wanamleta muhusika mara moja. Na wasichana hawa huwa tayari wameandaliwa na wapo tayari mda wote, wakati mwengine kama kiongozi anaenda labda Dubai mdada anweza kuondoka wiki kabla kutangulia mahala husika

duuh kuna watu waongo jf humu!!
 
Rais akiwa nje anaweza na ni rahisi sana kuchepuka...anaweza kumtumia hata Rais wa nchi husika kama ni rafiki yake chanda na pete...mfano...JK na Rais wa msumbiji...

Kama hiyo ni ngumu basi hutumia msaidizi wake wa karibu sana au balozi...

Rais anapokuwa ndani ya nchi...kuchepuka ni simple sana...kwanza anaweza akaenda yeye mwenyewe au dereva akiwa
na gari ya ikulu ambayo haina plate number kwa mchepuko.

Au...Rais anapokuwa ziarani mikoani ikitokea akampenda demu hapo uwanjani akiwa anahutubia...humwagiza msaidizi wke wa karibu amfuate huyo demu na kumuomba namba yke ya simu....hili nina uhakika nalo.
 
Hao mawaziri na raisi wao huchepuka sanaaaa Tu ,wale wenyeji wao huwatafutia makahaba wanaojiuzaa,au kunakua na mademu special wanaandaliwa akitaka Tu anapewaa,hao walinzi wana siri mno wanajua kila kitu,,aliyekua hafanyi upuuzi ni mwl Nyerere tu
 
Hao mawaziri na raisi wao huchepuka sanaaaa Tu ,wale wenyeji wao huwatafutia makahaba wanaojiuzaa,au kunakua na mademu special wanaandaliwa akitaka Tu anapewaa,hao walinzi wana siri mno wanajua kila kitu,,aliyekua hafanyi upuuzi ni mwl Nyerere tu

Je,huyu mchepuko anavyoliwa anajuwa kuwa anayenikandamiza hapa ni rais flani?au waziri flani?
Maana michepuko ikiliwa na rais ni Ize sana kuropoka mtaani
Na kiusalama si linatakiwa kuwa jambo la siri?
Nakumbuka rais wa marekani clinton alichepuka chupu chupu aondolewe ikulu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom