vipi kuhusu hawa jamaa zetu..

vipi kuhusu hawa jamaa zetu..

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,579
Reaction score
3,269
niaje wadau,kwema...naomba kuuliza kama kuna mtu au watu humu walio fanya interview finca bank tarehe 19 mwezi wa pili.je kuna mtu yoyote amapata majibu ya ile interview japo kuitwa au kutoitwa?au yoyote anae jua kuhusu hilo jambo?
 
Back
Top Bottom