Hazifwafai hoehae kiwese shida yanabugia balaa na hii foleni utaona tu vioo wazi wakati ac nzima
Hazifwafai hoehae kiwese shida yanabugia balaa na hii foleni utaona tu vioo wazi wakati ac nzima
Wakuu, naomba ushauri ipi nzuri? fuel consuptio@n ;durability; comfortabilty etc.
gx 100 cresta iko poa sana kuliko mark II sababu ya consuption. Cresta engine yake ni v vti hainywi sana (1ltr=9km) ila mark II ni v6 (1ltr=7-7.5km)
Nimezitumia zote.