lupe leonard
Member
- May 29, 2016
- 53
- 15
Halafu na Bachelor of Land management ya Ardhi.
ipi iko sokoni wana jamvi?
ipi iko sokoni wana jamvi?
Na ile ya udsm inatofautigan na ya sua mkuu?Mtu asikushauri vingine we tumbukia mzima mzima SUA hutojuta
Wanauita uandishi wa KIDIGITALI..!Alafu unapoandika jifunze kuandika kwa ufasaha sio unaandika madudu, wengine hatuelewi unachoandika!!! Ov ndio nini??
Lakini bruh wapo ambao wame na izo HGE so kila kitu ni kujituma nakuamini kama unaweza hakuna kitu kinachoshindikana thus why kwenye requirements zako tcu wameorodhesha hayo masomo.Degree Program zote hizo mbili zinahitaji ujitume... SUA sio sehem ya majaribio, inahitaji ujipange na hiyo Land Management sio degree ya kitoto. Kama umesoma HGE na EGM na huna misingi ya Physics usiende Land Management utajichimbia kaburi mwenyewe...