Vipi Kama Ingelikua ni Wewe

Kumbe kukaa mbele mbele kwenye mapambano ya ngumi ni hatari kiasi hiki?
DON'T TRY THIS AGAIN!
 
inabidi itungwe sheria walau ya bima third part au comprehensive kabisa na hii inaanza kutumika tangu mtu akitoka nyumbani kwake kwamba anaenda kwenye mipambano ya ngumi hata akikutana na kibaka aweze kulipwa fidia
 
mi sitaenda kabisa nitakaa nyumbani viti vya nyuma.
 
ki front front (ki -mbelembele) kimemponza huyo dogo............alifuata nini?
 
Hata darasani nilikuwa nakaa nyumaaa! Mbele utafuta ubao mwanzo mwisho.
 
Mimi nimempenda huyo jamaa aliyekwepa!
 
aisee lazima dogo aliharibu kwenye sarawili...
 
Duh! Mkuu hiyo noma. Jana2 tumempelaka mjomba ye2 hospital, kwa jambo kama hilo. Tofauti yy alikua anaa amulia ugonvi, bac dah! Akakuna na apakati ya maana mpaka kidevu kimekaa pembeni. Aliletwa nyumbani akiwa hajitambui ( kazimia ) mpaka hivi sasa kalazwa Temeke Hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…