Vipi kama ex aki ......!!

Aiseee aisee aiseee...... Hivi kwa nini watu huwa wanaachana? Kwa nmna hii wanakuwa wanatengeneza mnyororo mrefu sana wa maumivu. I wish life was fair
 
uliwahi kudhani mi ni wa leo?
enhenhenhe!
nikihesabu xmas hapo nyuma,asee nimekula pilau nying sana!
 
na hili ndilo neno la Babu!
Kaizer itikia!
 
Last edited by a moderator:
Hata kama siwezi ila huo ni unyonyaji aisee.... Kwa nini umuweke x moyoni kiasi hiki?

basi tu hutokea hvyo, utakuta mlipendana sana na mkaachana kwasababu ndogo sana na bado unakuwa na hisia naye kila unapojaribu kumsahau inashndkana. Ndio basi tena unajikuta unamuwaza mpaka basi
 
swali ni moja. UTAJUAJE?

Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?
 
Last edited by a moderator:
Aiseee aisee aiseee...... Hivi kwa nini watu huwa wanaachana? Kwa nmna hii wanakuwa wanatengeneza mnyororo mrefu sana wa maumivu. I wish life was fair

Life is very fair my darling. wanadamu (wengi wanaume sisi) ndo hatuko fair. İmagine kidume kina maex 30 wote walikuwa wakiaminishwa wataolewa.... Afadhali yangu mi nnao watano tu, na hakuna nayemkumbuka kiviiile LOL
 
Aiseee aisee aiseee...... Hivi kwa nini watu huwa wanaachana? Kwa nmna hii wanakuwa wanatengeneza mnyororo mrefu sana wa maumivu. I wish life was fair

kitu kimoja binadamu tumeumbiwa kusahau pamoja na kuwa mliachana kwa sababu flani lkn ule umbali mnapotengana na siku mkikutana basi mabaya yote yanasahaulika hapo mnaanza kuvutiana hisia za upendo wenu wa zaman mtajikuta mnavuana bila hata kipingamizi.
Jaman nguvu ya penz ni kubwa sana hasa kama mlipendana kwelikweli
 
Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?

Nami ndo nakuuliza, wakati anavuta hisia kwa x wewe utajuaje? na kama hujui we si uendelee kukata mauno upate laha na utyamu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?

unawajua Klones?
 
Last edited by a moderator:

Mahawara hawaachani shehe. ma x wangu wote, nikinyanyua simu tu, tunapanga tukutane gesti ipi. ndo maana mi staki kuwajua ma x wa mama matesha wangu. sipendi dhambi ya mauaji.
 
..mkuu umesema maneno kuntu, japo kwangu haitokei kwa kumpenda ex, bali kwa sababu game yake niliipenda, lazma uvute hisia...!!
 
Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?

mmh! Huo mlomo huo!.... Kuna kipindi cha kukubali matokeo kama hivi:
unajua kabisa kuwa unayempenda huwezi kumpata tena ila unatakaiwa uwe na mke na utengeneze familia utalazmisha kumwonyesha upendo yule unayetaka kumwoa japo sio kama ule wa ex ili mradi aman iwepo ndan ya nyumba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…