Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,740
- 27,104
Raha Sana MAGUFULI kutuvusha awamu nyingine
Nilishasahau kabisa mzee wa dakika ya 89Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao.
Sijamsikia tena tokea siku hiyo.
Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au?
Na sijaona wala sijasikia popote kuwa leo alipiga kura yake.
Kuna anayejua kinachojiri kwa huyo jasusi wetu mbobezi?





Jamaa ni kituko aisee.Nilishasahau kabisa mzee wa dakika ya 89
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kila siku najiuliza mbona hizo sifa wanazombwagia mbona mimi sizioni?Jamaa ni kituko aisee.
Anaongoza kwa mbali katika vituo kadhaaHivi Nyarandu yupo?