Jana tuu hiyo nimenyuka Converse Nyeupe .. Oceanic blue denim trouser n Jacket.. Ndani white T-shirt .. Sina hili Wala lile naenda somewhere before nifike .. ilikuwa karibu na nyumbani tuu .. akapita mwehu na Subaru yake Kama risasi kulikuwa na maji yametuama .. machafu dah ... Kitendo Cha sekunde nikawa sitamaniki...πππππ .
Kwa hasira nikaamua kuingia Kwenye havyo maji machafu nichafuke vizuri.
Ujinga sipendagi