MC Chere
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 586
- 400
Nikiwa natafakari kwa kina na kubaki kucheka tu maana kila mtu haijalishi anafanya shughuli gani analalamika kuwa hakuna pesa na hivyo hali zao za uchumi zimezorota, si wafanyabiashara za mbao sokoni nako mbao zimejaa maana kasi ya watu kujenga imepungua kwa asilimia kubwa sana,
Mara wauza majeneza nao wanalalamika biashara yao kuporomoka kwa zaidi ya 50%, ndipo nikaenda mbali zaidi kwa kukumbuka biashara hii iliyovuma sana nikiamini nako umaarufu wake utakuwa umeshuka au kama walikuwa wanatoza 10,000 nadhani kwa sasa watakuwa wamepunguza viwango vya bei zao. Sasa tujuzane hali halisi ni kwa kiasi gani sekta hii nayo imeathirika.