Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
MUNGU anawapenda snLissu, Heche na CHADEMA wameponea chupuchupu kama bahati ya mtende kuotea jangwani. Wale wajuba na chama chao hawakuhusika kabisa na vurugu za uchaguzi, sijui walinusa nini watu wale. Kuwekwa kwao ndani kumewanusuru na mengi mabaya!