GE2025 Vipi CHAUMMA wameshinda viti vingapi vya ubunge?

GE2025 Vipi CHAUMMA wameshinda viti vingapi vya ubunge?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hao wajuba waliokimbilia CHAUMMA waende CCM au warudi CHADEMA kama akili zao haziko sawa! Waache chama cha mzee wa ubwabwa salama, sasa watafanyia wapi siasa na hicho chama hakina ruzuku wala matawi chini? kama vipi warudi kwenye shughuli zao za awali kabla ya kuingia siasani. Devota anaweza kurudi ITV au asubiri uteuzi wa u RC. Wengi watalambishwa vyeo kwa kushiriki uchaguzi, hii haina shida watapata post
 
Vipi sheikh ponda huko temeke naye kagaragazwa kwenye kura? Huyo arudi msikitini kuswalisha ndio kazi yake, siasa kwake haimfai
 
Kigoma kaskazini vipi huko, serukamba alishinda?
 
Majimbo mawili kwa ACT ni mengi sana na wanapaswa kujipongeza. Ukichanganya na yale ya zanzibar watakuwa wengi bungeni japo ni minority huko mjengoni wakati wa kupitisha hoja za serikali. Kituko ni CHAUMMA pamoja na vile vyama vya kina mwajuma, kinje, gombo, costa, mluya. ambar, busungu hawajaambulia hata jimbo moja huku waligombea urais, labda kuna sehemu wameambulia udiwani kama nako huko hawajaangukia pua. Wamefanya kazi bure na kuishia kupata magari na tume. Hayo magari kama vipi wasiyarudishe hiyo ni bakhshishi yao yabaki kuwa ni mali ya chama
 
Muziki wa uchaguzi ujao sijui utakuaje kama huu unaopita ulikuwa ni mtiti, vyama vingi vidogovidogo vilishiriki na kuangukia pua kwa kupata kura kidogo. Jimbo zima unakuta mgombea urais anapata kura moja au mbili! hivi si ni vituko?
 
Uchaguzi umepita, sasa hii CHAUMMA itabaki na hao makada wa chadema daima au kila mmoja ataenda pa kwenda kufanyia siasa palipo na vibe? miaka mitano ni mingi hawa makada hawatavumilia kukaa kwenye chama kisicho na shughuli za kufanya kwa kipindi chote hicho huku siasa za nchi nazo zikibadilika kuendana na wakati na mahitaji ya nchi
 
Hao wajuba waliokimbilia CHAUMMA waende CCM au warudi CHADEMA kama akili zao haziko sawa! Waache chama cha mzee wa ubwabwa salama, sasa watafanyia wapi siasa na hicho chama hakina ruzuku wala matawi chini? kama vipi warudi kwenye shughuli zao za awali kabla ya kuingia siasani. Devota anaweza kurudi ITV au asubiri uteuzi wa u RC. Wengi watalambishwa vyeo kwa kushiriki uchaguzi, hii haina shida watapata post
Watapewa post za uDC na uRC kwa shukrani ya kushiriki mauaji
 
Muziki wa uchaguzi ujao sijui utakuaje kama huu unaopita ulikuwa ni mtiti, vyama vingi vidogovidogo vilishiriki na kuangukia pua kwa kupata kura kidogo. Jimbo zima unakuta mgombea urais anapata kura moja au mbili! hivi si ni vituko?
Kura zilipigwa kabla na wala hawakuwa na mawakala, nchi nzima waliopiga kura hawafiki 5M japo ile tume fake ilitangaza 32M ila ni uongo mkubwa haswa
 
Lissu, Heche na CHADEMA wameponea chupuchupu kama bahati ya mtende kuotea jangwani. Wale wajuba na chama chao hawakuhusika kabisa na vurugu za uchaguzi, sijui walinusa nini watu wale. Kuwekwa kwao ndani kumewanusuru na mengi mabaya!
 
It is a dark history in our country kuwapoteza ndugu zetu, poleni saaaana Watanzania wenzangu.

Back to the topic G55 walijitoa Chadema na Kila siku walikuwa wanaitisha ma press conference kuiponda Kwa kugomea kushiriki uchaguzi.

Waliamua kushiriki uchaguzi, naomba kuuliza wameshinda majimbo mangapi?

Vipi
Catherine Ruge
Moza Ally
Yeriko Nyerere
Suzana Kiwanga
Aisha Madoga
Kaiza
N.k

Je Kwa kupata kura za urais less than 1% watapata kitu chochote Cha ubunge wa vitu maalumu?

Niitieni CHAUMMA
Upinzani ilikua chaumma peke yao?
 
Back
Top Bottom