Vipi anakutesa? Tumia pesa!

Sio kosa lako. Pole sana.
 
Popote ulipo jirani yangu miss neddy nakuhitaji hapa...

hahahaha miss u my jirani mimi naamini pesa sio kila kitu mapenzi ya kweli yasioongozwa na pesa yapo ingawa wahusika ni moja ya kumi katika jamii mapenzi ni hisia wanaosema mapenzi ni pesa sometime waweza kuta ni tamaa zao binafsi
 
Last edited by a moderator:
Mazingira ya maisha ya sasa yanatufanya wanadamu (si mwanamke wala mwanaume) kuona pesa ndo kila kitu na ndo ukweli japo mwanamke anataka maisha ya tayari kipo (bila ya yeye kuwa sehemu ya upatikanaji wa hiko) wanakataa ukweli huu na huu ndo unafiki wao.
 
Ukiwa unahonga mno mie nakuona ----- tu!!
 
Well said mkuu..
 
CC; Eiyer njoo unifafanulie fumbo la dada Ennie hiyo ....... kamanisha nini?

Hakuna fumbo hapo bali aliandika jambo ambalo kwa kanuni za JF sio neno la kuandikwa hadharani hivyo wameliwekea dehi deshi ili lisisomwe!
 
hahahaha miss u my jirani mimi naamini pesa sio kila kitu mapenzi ya kweli yasioongozwa na pesa yapo ingawa wahusika ni moja ya kumi katika jamii mapenzi ni hisia wanaosema mapenzi ni pesa sometime waweza kuta ni tamaa zao binafsi

I'm happy to see u again my neighbor..
And i like the way you speaking frankly.
 
Hakuna fumbo hapo bali aliandika jambo ambalo kwa kanuni za JF sio neno la kuandikwa hadharani hivyo wameliwekea dehi deshi ili lisisomwe!

Ngoja tupate uhakika kutoka kwa dada Ennie eti nikweli alichokisema??
 
Last edited by a moderator:
Me huwa siombi ela, ikitokea nina shida nitaomba marafiki but nakuwa nakusoma nikiona miezi sita unipi ela najimovezisha taratibu
 
Me huwa siombi ela, ikitokea nina shida nitaomba marafiki but nakuwa nakusoma nikiona miezi sita unipi ela najimovezisha taratibu

Sasa kama hauombi mtu atajuaje kama unashida na pesa?

Na utajimovezisha kwa wangapi.

Kama upo na mwanaume na moyo wako unatamani pesa bora kuwa muwazi kuliko kuficha ficha..!

Hao marafiki itafikia wakati watakuchoka kwa mizinga yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…