Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habari za jioni wadau wa soka la Bongo.

Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji.

Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo nakiamini kuwa hata Yanga anaweza kupita pale Sudan. Sema sisi Waafrika bado tuna kasumba zile za kizamani kuwa Kila timu eti inashinda kwake. 😂😂😂

Kwahiyo eti Yanga anaweza tolewa kisa Al Hilal yupo kwake. Hizi ni akili za kizaman sana wadau, siku hizi unapasuliwa upo mbele za mashabiki zako, uwanja wako, pia na wake zenu wapo.

Naongea hili nikiwa mfuatiliaji wa soka la sasa hivi kwa karibu sana. Mwaka jana;

1. Simba kachapwa na Jwaneng Galaxy hapa hapa Tanzania akatolewa, tena huyu alishinda ugenini kabisa.
2. Ajax alimtoa Madrid kwenye UEFA kwake pale Stantiago.
3. Ajax akenda pia kamtoa Juve kwao pale Turin.
4. Tottenham alimtoa pia Ajax pale Amsterdam mchezo wa kwanza walitoka sare pale White Lane.
5. Atletico alimtoa pia Man U palepale OT baada ya Droo ya 1-1 kule Spain.
6. Barca alitolewa na Frankfurt Europa baada ya kuchapwa pale Camp Nou.

NB: Siku hizi kwenye soka hakuna cha nyumban wala wapi, sema tatizo linalokuja kwa Yanga ni kuwa Afrika bado tuna ile suala la goli la ugenini tu.

NARUDIA: Siku hizi hakuna cha nyumbani wala wapi, unapigiwa hapohapo.
 
Habari za jion wadau wa soka la Bongo,
Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshituka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda Makundi Mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua Mwenyeji.
Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo na kiamini kua hata Yanga anaweza kupita pale Sudan,sema sisi Waafrika bado tuna kasumba zile za kizaman kua Kila Team eti inashinda Kwake
Kwahio eti Yanga Anaweza tolewa kisa Al Hilal yupo Kwake
Hizi ni Akili za Kizaman sana Wadau siku hizi unapasuliwa upo mbele za Mashabiki zako, uwanja wako, pia na Wake zenu wapo.
Naongea hili nikiwa Mfatiliaji wa Soka la Saivi kwa Karibu sana
Last Year
1.Simba kachapwa na Jwaneng Galaxy hapahapa Tz akatolewa t3na huyu alishinda Away kabisa
2.Ajax Alimtoa Madrid kwenye UEFA kwake pale Stantiago
3.Ajax akenda pia kamtoa Juve kwao pale Turin
4.Tottenham alimtoa pia Ajax pale Amsterdam game ya kwanza wali Droo pale White Lane
5.Atletico alimtoa Pia Man U palepale OT baada ya Droo ya 1-1 kule Spain
6.Barca alitolewa na Frankfurt Europa baada ya kuchapwa pale Camp Nou.

NB:Siku hizi kwenye soka hakuna cha Nyumban wala wapi sema tatizo linalokuja kwa Yanga ni kua Africa bado tuna ile issue ya goli la ugenini tu.
NARUDIA:Siku hizi hakuna cha Home wala wapi unapigiwa hapohapo.

Upo sahihi, tatizo ni moja tu kuwa Yanga mashindano kama haya kwake ni sawa na kituo cha Polisi! Kesho muda kama huu nitafute!
 
Hata Mimi Sina hofu, Kesho yeyote anashinda, Wala siyo kwa kigezo Cha unyumbani, atakayetulia vizuri, atashinda tu
 
Lugha ya picha.
FB_IMG_1665353232699.jpg
 
Yanga bwana....mnajiiiiiipa matumatuiiiiini.

Kila la kheri watani! Mwenyezi Mungu atimize ndoto na matamanio yenu
Zungumza ki-Mpira sio kinazi..Tatizo ndio hili usimba na Yanga ndio umezidi Nchi hii mtu anaamini Team itatolewa kisa hawashabikii ni wapinzani wake😂😂😂😂
 
Habari za jion wadau wa soka la Bongo,
Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshituka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda Makundi Mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua Mwenyeji.
Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo na kiamini kua hata Yanga anaweza kupita pale Sudan,sema sisi Waafrika bado tuna kasumba zile za kizaman kua Kila Team eti inashinda Kwake
Kwahio eti Yanga Anaweza tolewa kisa Al Hilal yupo Kwake
Hizi ni Akili za Kizaman sana Wadau siku hizi unapasuliwa upo mbele za Mashabiki zako, uwanja wako, pia na Wake zenu wapo.
Naongea hili nikiwa Mfatiliaji wa Soka la Saivi kwa Karibu sana
Last Year
1.Simba kachapwa na Jwaneng Galaxy hapahapa Tz akatolewa t3na huyu alishinda Away kabisa
2.Ajax Alimtoa Madrid kwenye UEFA kwake pale Stantiago
3.Ajax akenda pia kamtoa Juve kwao pale Turin
4.Tottenham alimtoa pia Ajax pale Amsterdam game ya kwanza wali Droo pale White Lane
5.Atletico alimtoa Pia Man U palepale OT baada ya Droo ya 1-1 kule Spain
6.Barca alitolewa na Frankfurt Europa baada ya kuchapwa pale Camp Nou.

NB:Siku hizi kwenye soka hakuna cha Nyumban wala wapi sema tatizo linalokuja kwa Yanga ni kua Africa bado tuna ile issue ya goli la ugenini tu.
NARUDIA:Siku hizi hakuna cha Home wala wapi unapigiwa hapohapo.
UMESHTUKAJE??kesho Khartoum zile Ngumi NDOIGE lazima ziwadondokee Uto hakuna namna
 
Habari za jion wadau wa soka la Bongo,
Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshituka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda Makundi Mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua Mwenyeji.
Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo na kiamini kua hata Yanga anaweza kupita pale Sudan,sema sisi Waafrika bado tuna kasumba zile za kizaman kua Kila Team eti inashinda Kwake 😂😂😂
Kwahio eti Yanga Anaweza tolewa kisa Al Hilal yupo Kwake😂😂
Hizi ni Akili za Kizaman sana Wadau siku hizi unapasuliwa upo mbele za Mashabiki zako, uwanja wako, pia na Wake zenu wapo.
Naongea hili nikiwa Mfatiliaji wa Soka la Saivi kwa Karibu sana
Last Year
1.Simba kachapwa na Jwaneng Galaxy hapahapa Tz akatolewa t3na huyu alishinda Away kabisa
2.Ajax Alimtoa Madrid kwenye UEFA kwake pale Stantiago
3.Ajax akenda pia kamtoa Juve kwao pale Turin
4.Tottenham alimtoa pia Ajax pale Amsterdam game ya kwanza wali Droo pale White Lane
5.Atletico alimtoa Pia Man U palepale OT baada ya Droo ya 1-1 kule Spain
6.Barca alitolewa na Frankfurt Europa baada ya kuchapwa pale Camp Nou.

NB:Siku hizi kwenye soka hakuna cha Nyumban wala wapi sema tatizo linalokuja kwa Yanga ni kua Africa bado tuna ile issue ya goli la ugenini tu.
NARUDIA:Siku hizi hakuna cha Home wala wapi unapigiwa hapohapo.
Acha ujinga wewe, home ground advantage is real. Corona proved that.
 
Itungie UTOPOLO FC sentence 5 kutokana na neno SHINDA.

--Utopolo fc shinda na njaa.
---Utopolo fc shinda kavaa msuli.
---Utopolo fc shinda chini ya mti.
---Utopolo fc shinda analia.
---Utopolo fc shinda juu ya mpapai..

Kesho mpigwe tu,,

Hakuna namna,,,dadeki zenu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom