Vipeperushi zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipeperushi zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtwana, Oct 25, 2012.

 1. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Watu wasiojulikana wamesambaza vipeperushi wakitaka kuiitishwe kura ya maoni ya kuvunja mfumo wa serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoasisiwa Novemba 2010.

  Vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari ‘Tamko la watu wa Waunguja kwa Wawakilishi wote wa CCM kutoka majimbo yote ya Unguja’ vimekuwa vikisabazwa katika maeneo ya mikusanyiko na baadhi ya wananchi kupenyezewa katika milango yao.

  “Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imeshindwa kudumisha na kulinda amani na umoja wa kitafia wa wananchi wa Zanzibar,’ sehemu ya vipeperushi vimeleeza.

  Vipeperushi hivyo vimetoa mapendekezo matatu wakitaka serikali kuangalia upya mabadiliko ya 10 ambayo yanaruhusu kuudwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

  Wametaka viongozi dhamana waliopewa majukumu ya kusimamia sheria wafukuzwe akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kutokana na vurugu zinazofanywa na kikundi cha Uamsho kila mara Visiwani humo.  Kwa muono wangu wakujiuzulu kwanza bora wangesema Emanuel Nchimbi mana yeye ndie mwenye Dhamana ya Kulinda Raia na wala sie Waziri wa Katiba na Sheria-Zanzibar. Ila yote haya wanaofanya ni Usalama wa Taifa.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umewashinda kuuvunja sasa wanatafuta kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa! Hawa watu sijui hata wakoje.
   
 3. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  "mtwana"
   
 4. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Nyie manyani hivi mna matatizo gani hasa? mbona hamuelewan! hata lugha yenu hamuijui? au ndo iman za kizungu na kiarab zinawasumbua vichwan mwenu? ona nyan huyu anazungumzia kusambazwa vpprush huko Zenj, yule anajib cjui shehe flan kanyolew kichaka! dah!!
   
 5. MY LOVE

  MY LOVE Senior Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo kuu la hawa watu wanatekeleza yale wanayoambiwa na ma............. wao bila kufikiria vichwani mwao. Wakiambiwa leo kuandamana, wanakubali bila kujua faida na hasara zake, wakiambiwa tuchome ....... wanakubali tu. NASUBIRI WAAMBIWE LEO KUJITOSA BAHARI then wakubali kufanya hivyo.
   
 6. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Does their religion allow reasoning?
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: nawaonea huruma wanavodanganyika maskini watu wa watu
   
 8. L

  Laptani Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huo ndo mwanzo wa kuuvunja muungano; kumbuka maneno ya Mwalimu JK Nyerere:
   
 9. m

  mangonjoli Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Kweli bwana mijitu haifikirii kichwani ikiambiwa tu inakurupuka.mfano mijitu ya CHADEMA ikiambiwa leo mandamano utaikuta barabarani.wanapenda kuanzisha vurugu ili watu wafe chama kizidi umaarufu.
   
 10. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,910
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  zanzibar mtahangaika sana mwaka huu
   
 11. Nyanidume

  Nyanidume JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 2,156
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Maana yake nn sasa!, wale ni ndg ze2 ya2pasa 2wasaidie ili waondokane na matatizo waliyonayo cyo kuwakejeri.
   
 12. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Lugha yako inakufichua kutoka katika kichaka cha chuki na tabia ya kinyama
  ambayo kwa asilimia mia moja inatokana na mafundisho ya dini yenu yaliyojificha
  na sio yale yaliyo dhahiri - ni dini hatari kama nyoka wanaua bila kuonekana.
   
 13. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Unafikiri ni wajinga kama wale wengine wanaokubali kila kitu?
  huyo kiongozi mwenyewe akienda ovyo anaadhibiwa papo hapo
  huoni au unajifanya huoni?
   
 14. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kitabu na Sunna nje ya hapo hadanganywi mtu.
   
 15. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Muheshimiwa ni wewe kweli au jina tu limefanana? Ilikuwaje tena muheshimiwa ukasema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na visiwa vya Pemba na Zimbabwe?
   
 16. a

  adolay JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Roho ya ubaguzi inawatesa na kama alivyosema hayati baba wa Taifa Mwl J. K Nyerere.

  Wamekwisha kuila nyama ya mtu hawataacha, dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna siku zote.

  Jusa, Seif, farrid na uamsho hawa wanaitaka Zanzibar huru. Nje ya madai yao wanafahamu vema kwamba hakuna Zanzibar huru bali Unguja na Pemba.

  Dalili za mvua ni mawingu na madai ya Uamusho na maudhui ya mabandiko ya vipeperushi yanathibitisha kwamba sasa Zanziba haiko salama na sio wamoja, wanaonesha kuwa wamoja kwa unafiki wanapoisema Tanganyika.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,770
  Trophy Points: 280
  Wanataka kuvunja ndoa bila kujali mtoto wao mwenye jina la UAMSHO atalelewa na nani???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wazanzibari maneno haya tumeshayazoea tafuteni mengine.
   
 19. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Nyinyi watanganyika kwani z'bar inawahusu nini mbona kila wakati z'bar hivi mara z'bar vile hata mambo ya uzushi ilimradi tu mpate cha kuandika kuhusu z'bar hata kama hivyo vipeperushi vipo ni propaganda ya kitanganyika ili kuwaga waz'bar na kuendelea kuwatawala kimawazo
   
 20. a

  adolay JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  mkuu

  matatizo hayana mazoea japokuwa wewe mpemba mbishi
   
Loading...