Vipeperushi zanzibar

Nyinyi watanganyika kwani z'bar inawahusu nini mbona kila wakati z'bar hivi mara z'bar vile hata mambo ya uzushi ilimradi tu mpate cha kuandika kuhusu z'bar hata kama hivyo vipeperushi vip ni propaganda ya kitanganyika ili kuwaga waz'bar na kuendelea kuwatawala kimawazo

mbona mtu mwenye mawazo ya sheik farid kumtawala ni kama kumsukuma mlevi?
 
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umewashinda kuuvunja sasa wanatafuta kuvunja serikali ya umoja wa kitaifa! Hawa watu sijui hata wakoje.

mwisho wa siku watataka unguja na pemba zitengane..... Watu hawa sijui kama wanajielewa kweli....
 
Dini yangu inanifundisha mpende adui yako...hainiambii Mwizi akiiba KATA MKONO..Dini zingine bwana...mchaka mchaka mwanzo mwisho full vitisho maraa oohh ukifa sisimizi wa kaburini ni sawa na tembo wa huku..ooh ukifa utakatwa katwa na viwembe mbaka kiama..
Tatizo unasomewa husomi mwenyewe, ungekuwa unasoma ungejua kabla
Ya mtume mtukufu Muhammad (swallalahu alayhi wassalam) Mbora wa
mitume na manabii kupewa sheria hizo ni nani alipewa kabla - hebu pekua
vizuri Biblia labda Mungu atakuongoza.
 
Back
Top Bottom