Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
Mkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)
Wale majirani zake wala bata proffesional..
Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....
Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...
Wakuu nitakuwa Tony mla bata
Hahahaaa! Hapana mkuu! Hiyo kitu sipendi...Kila ka heri mkuu ila tigo isiwe 071
Usinifanyie hivyo Clkey weweMoyo sukuma damu........
Unaona ss ww ushawaza kwingineHahahaaa! Hapana mkuu! Hiyo kitu sipendi...
Too short but epic scene!...!
Ujue wewe nshakuelewa hutak ufike mwisho wa series ila utakapoonekana lazima ufanye madhara
Hahahahaa! Mkoroshokigoli njoo mchukue shemela mkuu...!Unaona ss ww ushawaza kwingine
Hahahahaa! Mkoroshokigoli njoo mchukue shemela mkuu...!
Anazingua
Kweli mkuu, timiza ndoto yakoMafanikio huanza na ndoto
Bado hadi mwaka 2019Wadau episode ya 6 ya vipepeo bado haijatoka?
Kwel mkuu, yaan unaanza kuionja mbingu huku huku dunianiMkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)
Wale majirani zake wala bata proffesional..
Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....
Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...
Wakuu nitakuwa Tony mla bata
Hahahaa! Wala mkuu...kawaidaKwel mkuu, yaan unaanza kuionja mbingu huku huku duniani
Si unamuonaga hata James Bond, hua anaigizaga na visu vya hatar na kama sehem za bata basi ni bata kweliHahahaa! Wala mkuu...kawaida
Mkuu una namba yake huyu kiumbe