Hahahah.!! Stay tuned mkuu..Asante sana..sijui utamtoshaje huyo mdingi na subili uscrofil wako
Shukrani mkuu..asnte mkuu
Hahahaha.! DahHii imekaa kimahaba,ngoja nimsimulie Baby Mama wangu hiyo stori ya Panya.![]()
Pamoja sana mkuu.. ShukraniShukran nyingi kwako ndugu yangu the bold
Dah,nikiri wazi kuwa sijawahi vunjika mbavu kama siku ya leo,The bold umetisha,eti dona kuchanganywa na vibunzi,duh.

Pamoja mkuu..thanks the bold
Ndivyo wanavyokula ndugu zetu huko jela..The Bold hiyo idea ya kuchanganya mabunzi na mahindi umeitoa wapi mkuu...noma asee
Pamoja sana mkuu..The Bold wewe ni hatari
Poapoa kaka,ngoja tusubili hiyo keshoHahahah.!! Stay tuned mkuu..
Thanks man..Well done The Bold