Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hii imenikumbusha siku nimezinguana na mtoto wa kike wa mwenyenyumba apeleka Osterbay Police usiku, ndani ya cello jamaa wakataka niwasimulie tukio langu. nikawaambia "kuna tajiri nimezinguana naye, nimechinja mbwa wake live mbele yake" nikasikia jamaa mmoja anamwambia mwenzake "mwana, jamaa noma eti kamtia mbwa bisu la shingo" sikupata usumbufu wowote.
 
hahahahaha walifikiri unaweza kuwatia bisu la shingo
 
Duuuuu una majibu rafiki yangu aisee ila c mbaya tunatofautiana
Hahahahah eti moyo sukuma damu kwani tangu unazaliwa ulikuwa unasukuma hewa

Msiukomandi moyo acheni ufanye kazi yake involuntary nyie mfuate kinachowajia

Similar Discussions

Back
Top Bottom