Ndiba Benny tuko nae upanga ukimwona st joseph au peter`s kuna ibada maaluum
sasa aseme hapa upanga kiti chake ni kipi?
naomba niyataje hayo makanisa na VIP seats.
1.AZANIA FRONT
EDWARD LOWASA HUYU ALIPEWA KITI CHA MBELE KUSHOTO
2.SAINT JOSEPH CATHEDRAL NA SOME TIMES SAINT PETERS OYSTERBAY.
BENNY MKAPA MBELE KULIA
Anatubu au ana-beep? Unatubu vipi bila kurepair damages??Anatubu 😕😀🙄
naomba niyataje hayo makanisa na vip seats.
1.azania front
edward lowasa huyu alipewa kiti cha mbele kushoto
2.saint joseph cathedral na some times saint peters oysterbay.
benny mkapa mbele kulia
NimekupataNa ndiyo maana nikasema "KUNA MAKANISA" kauli hiyo pekee inaonesha c yote....
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Tuambie ushawahi kukaa wanapokaa ukafukuzwa!?? Hii mimi naona ni mazoea tu mtu unakuwa umezoea kukaa sehemu moja mpaka hata wasahrika wenzanko wanacram kama ni siti yako!!!
Heshima kwako Mbogela,
Hili jambo lipo na nimewahi kulishuhudia mara nyingi.Mfano mzuri ni KKKT Usharika wa mjini kati.Viti vya mbele vinakaliwa na wafanyabiashara wakubwa au viongozi wenye vyeo vya juu serekalini eg RPC,RCO,RAS na nk.Hakuna sheria inayokataza waumini wa kawaida kukaa viti vya mbele isipokuwa kuna utaratibu wa siri unaowahakikishia vigogo wanakaa viti vya mbele.
Waumini wa usharika wa mjini kati ni mashaidi wa hii kitu,wapo wafanyabiashara wakubwa kama Mzee Mshiu kila j2 lazima aketi kiti cha mbele.Aliewahi kuwa RPC Arusha Afande Kombe alikuwa akikaa kiti cha mbele pia RAS jinaimelisahau alikuwa akikaa kiti cha mbele.
Freemasonry has take over our religious institutions
wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (vip) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? Hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?
Ni rahisi Ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kurithi uzima wa milele. Watch outKwa kweli makanisa na misikiti siku hizi ni bomu kabisa.Ukiwa na pesa utapewa kipaumbele...masikini hawana chao..
.............husimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake, wala chochote alicho nacho............usimushuhudie jirani yako uongo