Vip kuhusu mkopo law school? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vip kuhusu mkopo law school?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Jipemoyo, Oct 29, 2012.

 1. Jipemoyo

  Jipemoyo Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nimekua nikikutana na swali ili kwa vijana mbal mbali, ati bod ya mikopo ya vyuo vikuu nchini inatoa mkopo kwa wanaojiunga kwa masomo ya law xul?
   
 2. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mpaka mwaka huu 2012 Cohort ya 11, Bodi ya mikopo haihusiki na mikopo ya Law School of Tanzania.Kama mtu anaahitaji mkopo basi wanafunzi wanajiorganise na kuomba mkopo kupitia chuo na kama mkopo ukikubaliwa basi huwa unatoka wizara ya Sheria na Katiba kupitia Law School.
  Lakini nasikia kuanzia Cohort ya 12 wanaweza kuanza kupewa mikopo kupitia Bodi ya Mikopo.....fuatilia
   
Loading...