Viongozi wote walioguswa na ripoti ya CAG 2021/ 2022 wachukuliwe hatua kali

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,150
7,728
Taasisi zote ambazo kwa namana moja au nyingine zimebainishwa kwenye ripoti ya CAG 2021/2022 watendaji wake wachukuliwe hatua za kisheria na wafikishwe mahakamani kwa kushindwa kutimiza wajibu wao na kuisqbabishia Serikali hasara.

Hii ndio njia pekee itakayo komesha uzembe na ubadhirifu wa fedha za umma, kama hatua Kali hazito chukuliwa basi tutegemee kila mwaka wizi, ubadhirifu na uzembe.

tuchukue hatua Kali bila kuoneana aibu na ikiwezekena mali zao zitaifishwe.

Viongozi wa taasisi hizo wapo wanashangaa, Mawaziri wapo, Watendaji wapo, Makatibu Wakuu wapo, n.k, kila mwaka ripoti inaonyesha upotevu wa fedha kwa njia ambayo mwaka uliopita ulibainishwa!
 
Hakuna mahakama/ hakimu au jaji Tanzania mwenye uthubutu wa kuhukumu kesi za wizi wa zaidi ya bilioni moja. Mwendesha mashitaka, wakili na jaji huunda ubia.
 
Hakuna mahakama/ hakimu au jaji Tanzania mwenye uthubutu wa kuhukumu kesi za wizi wa zaidi ya bilioni moja. Mwendesha mashitaka, wakili na jaji huunda ubia.
Basi wapigwe risasi kama hukumu za china.
haiwezekani kila siku tatizo hilohilo
 
Back
Top Bottom