Viongozi wateule wa mitaa na vijiji wameanza kazi kwa taabu kubwa kujieleza

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Viongozi wateule wa ccm mitaa na vijiji walioteuliwa hivi karibuni wameapishwa na kuanza majukumu yao. Miongoni mwa jukumu kubwa ni kuchangisha miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wengi wanajutia kujieleza na kutokukubalika kwa wananchi. Tutarajie sheria na kodi kandamizi kurejea kuwapa nguvu wateule wa ccm.
 
Kwani wameapishwa?
 
kwa jinsi ulivo elezea tu inaonesha we ni shabiki kindakindaki wa CHADEMA
punguza chuki,mlijitoa wenyewe huu ni mwanzo tu
 
Nchii Hii kwa kulalamika ni zaidi ya waisrael walipokuwa jangwani!
Viongozi wateule wa ccm mitaa na vijiji walioteuliwa hivi karibuni wameapishwa na kuanza majukumu yao. Miongoni mwa jukumu kubwa ni kuchangisha miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wengi wanajutia kujieleza na kutokukubalika kwa wananchi. Tutarajie sheria na kodi kandamizi kurejea kuwapa nguvu wateule wa ccm.
 
FB_IMG_1575133557002.jpg
 
Back
Top Bottom