Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019


Rich Pol

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Messages
7,814
Likes
3,637
Points
280
Rich Pol

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2013
7,814 3,637 280
Haki ya nani, mleta uzi naye anaungana na waraka wa mabadiliko wa akina MM, M1,M2 na M3. Mnawapinga wa kina ZZK lakini kimoyoni mnataka mabadiliko. Haya sasa Ngoja LEMA aje na Tofali lake utakoma.....Mchg Msigwa umemtupilia mbali, Tundu Lissu naye hayupo...........weeeeeeeeeee hawatakubali.
Mmh! Mimi nadhani mpaka tufike uchaguzi 2015 hawa M watakuwa wameshazidi M23 wa Congo sijui chama kitaomba jeshi la UN?

Body without head
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Mmh! Mimi nadhani mpaka tufike uchaguzi 2015 hawa M watakuwa wameshazidi M23 wa Congo sijui chama kitaomba jeshi la UN?

Body without head
Hahshaaahaahaaahahah itakua ni m34
 
O

oneblood

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2011
Messages
244
Likes
1
Points
0
O

oneblood

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2011
244 1 0
Mmh! Mimi nadhani mpaka tufike uchaguzi 2015 hawa M watakuwa wameshazidi M23 wa Congo sijui chama kitaomba jeshi la UN?

Body without head
tofauti ya mtoa mada na kina MM yeye hazungumzii mapinduzi wala madhaifu ya watajwa hapo juu ama waliopo,then yeye huu si waraka wa siri kama kina MM ni maoni yake kama wewe uwezavyo kutoa,tofauti yako na yake yeye amechambua wewe unasoma

:smile-big:
 
ifweero

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
7,962
Likes
46
Points
145
Age
39
ifweero

ifweero

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
7,962 46 145
Bila mchaga kushika uenyekiti patachimbika
 
patrickcharles

patrickcharles

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Messages
533
Likes
164
Points
60
patrickcharles

patrickcharles

JF-Expert Member
Joined May 22, 2013
533 164 60
Hii nimeitoa kwenye facebook ya kamanda wetu mtajwa hapo chini,tusome

Mtazamo wangu
huku makamanda wa CDM tukiwa tunaelekea kwenye chaguzi mbalimbali za ndani ya chama napenda kutoa mtazamo wangu juu ya nani anafaa wapi na kwa nafasi gani.
1: Dr. Willibrord Slaa,mwenyekiti wa chama hii ni kutokana ni ukweli kwamba dk Slaa bado anafaa kugombea nafasi nyeti ya urais waJMHT hapo mwaka 2015,hivyo anahitaji kupumzika kutoka kwenye shughuli ngumu ya ukatibu mkuu,ambayo kimsingi ni nafasi ya kiutendaji zaidi,hivyo inahitaji mtu ambaye anaweza kuzunguka zaidi maeneo mbalimbali nchini na kuimarisha chama nafasi hiyo inafaa kuchukuliwa na kijana,na dk akabakia kama msimamizi mkuu wa mambo ya chama,then hii italeta heshima zaidi na itaendana na mtazamo wa jamii na vyama vya siasa kwamba mwenyekiti wa chama ndiye mala nyingi huchaguliwa kupeperusha bendera ya chama kwa nafasi ya urais,angalia mfano huu,ndani ya CCM mwenyekiti ndiye huwa rais ama mgombea urais,vilevile CUF na baadhi ya vyama,pia kuwa mwenye kiti itamsaidia katika kupunguza maadui wa ndani na nje ya chama,kwa mfano kwa nafasi yake ya sasa kma mtendaji mkuu wa chama ndiye husimamia maamuzi ya vikao vyote na kuhakikisha yanatekelezwa,mfano sakata la Zitto Kabwe,Mtela MwampambaJuliana Shonza Chagulani AdamsHabib Mchange na wengine ambao walichukuliwa hatua mbalimbali na chama wamekuwa ama wao wenyewe ama wafuasi wao wamekuwa wakimnyoshea kidole na hata wengine kumtukana kwa madai kwamba yeye ndo amesababisha wafukuzwa ama wasimamishwe,hii inamwongezea maadui wanaomshambulia kila mahala misri ya mbwa mwitu,na hata kwa nafasi yake ya ukatibu mkuu inawapa wapinzani wetu kutoka CCM kumwandama sana mitandaoni na huko mitaani wakiamni yeye ndo sababu ya CCM kuchukiwa,akiwa mwenyekiti itapunguza msuguano huu.
2:profesa Baregu,makamu mwenyekiti,huyu kwangu mimi amekuwa mwanasiasa anayefanya siasa za taratibu na zisizo sukumwa na hisia(emotion)akiwa makamu mwenyekiti kwa kusaidiana na mwenyekiti wake dk Slaa,watakiinua sana chama kutokana na busara zao pevu na wavumilivu,huyu pia atakuwa nguzo ya kuongeza wasomi zaidi wa kada yake.
3:John Mnyika,huyu anafaa kuwa katibu mkuu wa chama chetu,hii inatokana na kuwa anakubalika zaidi miongoni mwa vijana wa CDM mbali na Zitto Zuberi Kabwe,anachomshinda Zitto yeye hana makundi mengi ya wazi ama ya siri ndani na nje ya chama kama vijana wengine,hii itakisaidia chama kwa kuwaonganisha vijana na kuwaongoza katika kuikomboa nchi hii kutoka kwa CCM "(black colonialist)pia Mnyika amekuwa mfano bora miongoni mwa wabunge vijana nchini kwa kuibua hoja mbalimbali bungeni na zinafika mwisho,pia kwa nafasi yake ya kiongozi wa kurugenzi ya habari na uenezi ya chama ameitendea haki sana nafasi yake kabla na baada ya kuwa mbunge,wamekuwa imara kukisemea chama na kujibu mambo mbalimbali kwa haraka na kutoa majibu mujarabu kwenye hoja husika,pia kutokana na umri wake ana nafasi kubwa ya kukitumikia chama zaidi ,hivyo akiwa katibu mkuu wa chama atakipeleka chama mbele zaidi.
4:Kasulumbayi (mbunge)huyu ameweza sana wakati wa kampeni za Igunga japo tulichakachuliwa,na amekuwa na ushawishi sana kanda ya ziwa zaidi ana misimamo thabiti na isiyoyumba wala kutekeleka,huyu atakuwa kete nzuri sana kwa watu wa rika la kati na hivyo kuongeza viti na kura nyingi kanda ya ziwa.
5:Mohamedi Mtoi,huyu ataweza sana kuvaa viatu vya Mnyika kuuongoza kurugenzi ya Habari na uenezi ya chama mbali ameibuka juzijuzi ndani ya siasa za CDM bt ameonesha kuweza sana kukitetea chama hivyo akiaminiwa na chama na kupewa nafasi anaweza sana.
6:pastrobasi Pascal,mwenyekiti wa BAVICHA taifa,huyu jamaa ni graduate wa LLM SAUT na pia amewahi kuongoza tawi la CDM SAUT hapo kwa mafanikio kipindi chake cha uongozi,pia amekuwa na ushawishi kisiasa kanda ya ziwa hasa kwa vijana,huyu jamaa anaweza sana kumpokea kamanda John Heche kijiti hicho,jamaa hana jazba na anajua kuchambua mambo kwa kina na kwa sasa ndo mwanasheria na HR wa SAHARA COMPANY ya bwana Diaro huku akiibuka mwanafunzi bora wa sheria mwaka aliohitimu,atatuunganisha sana vijana coz hana makundi ,hivyo kuelekea 2015 atatufaa kiutendaji ndani ya chama.
7:Halima James Mdee,huyu anafaa sana kuwa mwenyekiti wa BAWACHA,Kwanza ni mwanamke jasiri na shujaa sana ndani ya chama na nje ya chama,kama mtakumbuka ndo alimtoa jasho Mbatia kuwa mbunge wa Kawe,mpaka aliposubiri huruma ya rais Jk,kwa nafasi hiyo atawashawishi wanawake wengi kujiunga nasi na hatimaye kutwaa nchi 2015,
8Jesca Kishoa,katibu BAWACHA ,ni binti mdogo kiumri na ndo kwanza amemaliza chuo mwaka huu,bt ameweza sana kufanya siasa jimboni Iramba kiasi cha kumtisha naibu katibu mkuu CCM Mwigulu Nchemba na kukimbilia kutoa vitisho kwenye mitandao ya kijamii hasa JF,kwa kusaidiana na mkomavu Mdee,wanawake wengi zaidi watajiunga na chama na hivyo kuharakisha kifo cha CCM na hivyo kuikomboa nchi hii kutoka kwenye lindi la umasikini.
9:professa Abdalah Safari,huyu anafaa kuwa mwenyekiti wa CDM Zanzibar,huyu ni mwanazuoni anaeweza sana siasa za kutulia na atatusaidia sana kuongeza wanachama kutoka huko visiwani Zanzibar,mbali na kuwa mwanasheria lakini ni mtaalamu sana wa siasa za kimataifa hivyo atatuunganisha kimataifa kwa kushirikiana na Baregu.hivyo kuleta changamoto mpya visiwani Zanzibar,ambayo kwa kipindi kirefu ilitawaliwa na vyama viwili CUF na CCM.
Zitto akifanikiwa kuvuka salama kwenye hili sakata lake atulie tu ndani ya chama asiwanie nafasi yoyote mpaka 2019,kwani kwa sasa atakigwa chama zaidi kutokana na makundi hasimu yanayosigana ndani ya chama ambayo kwa namna moja ama nyingine yamekuwa yakimhisisha,pia kma katiba itamruhusu kufanya hivyo hasa ikizingatiwa anamajukumu mengi ya kikamati ya bunge na pia mwenyekiti wangu wa chama japo katiba inampa nafasi bt aseme inatosha hapa chama alipokifikisha awaachie wengine na abakie kma mshauri tu wa chama,kwa leo naomba niishi hapa nisiwachoshe sana na huu mtazamo wangu hasa kwa kuzingatia kwamba watanzania c wapenda kusoama vitu virefu kama hivi.
by Nicholaus Kirunga 4m Kibondo Kigoma TZ
0754926271
email,nickkilunga@yahoo.com
nakaribisha maono na ukosoaji wa kistaarabu


my take:jamaa kachambua vizuri hivyo tuweke makundi kando


Sasa habari ya watoto wa Facebook unaileta huku kwa Great Thinkers, be serious some time.
 
K

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
2,201
Likes
219
Points
160
K

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2013
2,201 219 160
Tumechoka kuchaguliwa viongozi na mh mtei, waasisi wasivigeuze vyama kuwa mali zao binafsi - said arf makam mwenyekiti chadema
Nashangaa mccm wanapo choka kabla ya cdm
 
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
1,073
Likes
10
Points
135
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
1,073 10 135
Jamaa katoa maoni yake kwa uzuri tu na kasema hayo ni maoni yake na kwaambia tuchambue so sioni haja ya kumtusi au kusema oooh sijui yule au wale kama huna la kuchangia achana na hoja yake nenda kwingine kwani kuna nyuzi kibao humu ndani.Watanzania tuna kasumba ya kupoteza muda kwa vitu ambavyo hatuvielewi mara moja so ni bora kama huelewi jambo mara moja just such and you'll get the nyuzi ambazo zitakuwia rahisi kuzielewa na uchangie hao.
 
K

kenwood

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
757
Likes
5
Points
35
K

kenwood

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
757 5 35
etiii,uenyekit apewe babu slaa?subiri,ngoja wachaga waje hamna rangi utaacha kuona!meku hyo kiti haiwez endaa nje ya kilimanjaro meku,
Waaarusha Oyeee!! Otaa taa, ino olmeeeki.
Je olmeeki ni nani ktk nchi hii??
Unajua hatutaki mtu wa kaskazini na unajua Rais hatatoka kaskazini?
Je kama nyie wa kijani mnakubali?
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,502
Likes
3,776
Points
280
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,502 3,776 280
Mchambuzi angemweka Kamanda lissu kwenye nafasi ya mwenyekiti ningemwelewa! Pia mohamedi mtoi angepewa nafasi ya zitto au mnyika.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,142
Likes
32,977
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,142 32,977 280
Hivi huwa mnatafuta pesa kula na familia zenu saa ngapi?
Hivi wewe mpaka leo unatafuta pesa ili ule na familia yako?

Wazee wako pesa zote walikuwa wakifanyia sherehe tu, hawakukuachia urithi kama alivyoachiwa Mbowe na wazee wake?

Hapa ndipo unaponifanya nimshukuru sana Mwenyeezi Mungu kwa kuwawezesha wazee wangu kujenga vijumba Kariakoo enzi hizo, leo wametufanya tuishi raha mustarehe kwa maisha ya bongo. AlhamduliLlah.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,064
Likes
5,260
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,064 5,260 280
Kama umeitoa facebook ukumbuke ni likizo tyme
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Hivi wewe mpaka leo unatafuta pesa ili ule na familia yako?

Wazee wako pesa zote walikuwa wakifanyia sherehe tu, hawakukuachia urithi kama alivyoachiwa Mbowe na wazee wake?

Hapa ndipo unaponifanya nimshukuru sana Mwenyeezi Mungu kwa kuwawezesha wazee wangu kujenga vijumba Kariakoo enzi hizo, leo wametufanya tuishi raha mustarehe kwa maisha ya bongo. AlhamduliLlah.
Kwa hiyp Faiza we una kula hivyo vinyumba na nguo unavaa hizo nyumba,hongeraa mwayaaa
 
O

oneblood

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2011
Messages
244
Likes
1
Points
0
O

oneblood

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2011
244 1 0
kamanda T,Lissu na Kigaila wanafaa waendelee kuongoza kurugenzi walizonazo,wanafaa zaidi hapo
 
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
202
Points
160
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 202 160
Prof Safari awe Mwenyekiti,
Lissu awe Katibu Mkuu,
Mtoi awe Mkuu kitengo cha habari,
 
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Messages
1,816
Likes
7
Points
0
Eddo Sambai

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2013
1,816 7 0
Mawazo yako ni mazuri japo yana mapungufu ya hapa na pale.
Je unaweza ukaijazia nyama thread yako kwa kutueleza Mwenyekiti Mbowe atachukua nafasi ipi kwenye hiyo safu yako mpya?
 
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,997
Likes
475
Points
180
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,997 475 180
Mbinu zenu zote za kuwachonganisha Mbowe na Slaa zimegonga mwamba sasa mmeamua kuja kwa ushauri mbuzi kama huu.

Chadema ni Msingi inaendeshwa kwa katiba na kanuni zake na sio kupangiana nafasi kama mnavyofanya huko CCM.
 

Forum statistics

Threads 1,272,912
Members 490,207
Posts 30,464,253