Viongozi wangu wa Kanisa Katoliki shida nini?

Asante kwa hili andiko litasaidia kuelewa matamko mbalimbali anayotoa Dr Kitima.

Nimekuwa nikipata tabu sana kuelewa matamko mengi ambayo amekuwa akiyatoa hadi kuna kipindi nikafikiria uwezo wake wa akili ni wa wastani sana. Sasa angalau naelewa kumbe ana nia ambayo inakuwa imefichwa katika matamko yake.

Naona BAVICHA wameamshana wanatukana tu badala ya kujibu hoja!
 
Basi waache hayo mambo wakae majumbani mwao.

Kila mtu apambane na hali yake

Alafu hayo makanisa kwanini wasiyafunge?
Mapadre wanatembelea wagonjwa na kutoa sakrament ya wagonjwa.
 
Basi waache hayo mambo wakae majumbani mwao .
Kila mtu apambane na hali yake
Alafu hayo makanisa kwanini wasiyafunge?
Watakula wapi? Maanake ukiangalia kwa kina hao jamaa ni wavivu hakuna, yaani, muda wote wanahubiri mtolee bwana sadaka iliyonona!
 
Ukieleza madhaifubya padre Kitima haihalalishi uzembe wa serikali kupinga facts kuwa corona ipo na inaua. Kwani waliofariki kwa corona hata kama walikuwa na ukimwi au pressure, huo ukimwi kwa mini uue sana kwa kipindi hiki cha miezi miwili? . huko nyuma ukimwi upo na utaendelea kuwepo bila haukuua viongozi kiasi hiki.

Sasa asiseme corona inaua viongozi wake. Sasa ukianika madhaifu ya viongozi Wa katoliki inahalalisha kuwa wewe na viongozi wako ni watakatifu? Na nyie wenye vimada wengi nje na kuzaa na wanawake nje ya ndioa na kuwajengea nyunmba na kuwapa miradi mikubwa ikianikwa silaha yenu si kutuma wasiojulikana watupoteze? Toa borutijicho lako kabla ya banzi jicho la mwenzio.

Kesho yake mnatuomba tuwaombee, huo ni unafiki na ukandamizaji. Kitima kuwa chadema ni kosa lajinai? Vyama vingi maana yake mumeruhusu maeazo kinzani na iko kwenye katiba, why should be an issue. Subirini mbinyo utakuja dunia yote ikiwa imechanjwa mziuwevkutoka nje ya nchi ndipo busara itawarudi mtachanja.

Lockdown mnaikuza, wananchi wanataka chanjo siyo lockdown. Chanjo imeepusha kulazwa kwa wagonjwa kwa 80% huko uingereza hiyo hata vifo vitapungua tu, hata hao wenye ukimwi hawatakufa kama sasa kana ilvyokuwa huko nyuma, uongo hata ungeupamba huwezi kugeuka kuwa kweli.
 
Umeandika kireeeefu, halafu ni upuuzi mtupu.

Tatizo ninyi wazee wa iyena iyena, shida yenu mtu akijitokeza kusema ukweli utakaowachoma mnamwita Ni mpinzani, au anatumiwa! Sasa suala la CHADEMA na hao Maaskofu na Mapadre wapi na wapi?

Kanisa Katoliki ni system kubwa, mara nyingi huwezi kuona mtu anaropoka bila maneno yake kupimwa! Naamini msimamo wao utalivusha Taifa.

Tumsifu Yesu Kristo.
 
Mimi nawashangaa.

Wanalalamika corona inawaua lakini kila siku wanafungua milango ya makanisa.
Watakula wapi? Maanake ukiangalia kwa kina hao jamaa ni wavivu hakuna, yaani, muda wote wanahubiri mtolee bwana sadaka iliyonona!
 
VIONGOZI WANGU WA KANISA KATOLIKI, SHIDA NINI?

Ukimsikiliza Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dk. Charles Kitima na ukaunganisha na kauli za Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Ruwaichi unaona moja kwa moja viongozi hawa wanavyojielekeza kuupinga msimamo wa Serikali juu ya janga la ugonjwa wa Korona.

Unaona dhahiri wanavyojaza hofu na wasiwasi kwa jamii badala ya kuwa wafariji na wajenzi wa matumaini huku wakiwasihi Watanzania kumuomba Mungu aepushe Korona.

Unaona wazi jinsi walivyoamua kuacha hoja ya imani ambayo ndio jukumu la msingi la Kanisa na kujenga hoja za kisayansi ambazo mpaka sasa wanasayansi wameshindwa kukubaliana juu ya ugonjwa wa Korona na namna ya kukabiliana nao.

Nikiwa Mkatoliki inaniuma sana kuona na kusikia kauli hizi za viongozi wangu, na bahati mbaya ni hawahawa ambao hujitokeza mara kwa mara kupambana na Serikali kama vile Kanisa nalo ni tawi la chama cha siasa. Kama vile Kanisa Katoliki Tanzania linayo Serikali nyingine linaloitumikia. Wanajisahaulisha hata maelekezo ya maandiko matakatifu yanayowataka kutii mamlaka zilizopo duniani kwa sababu zimewekwa na Mungu. Hii ni shida.

Juzi Padre Kitima anaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuwajaza hofu na mashaka wananchi kuhusu Korona. Anadai Mapadre 25 wamekufa kwa Korona pia Masista wamekufa kwa Korona, anahimiza waziwazi kuwa Watanzania wanadanganywa kwa msimamo wa Serikali juu ya janga hili.

Labda nimuulize Padre Kitima hao Mapadre na Masista waliokufa ni akina nani? Wamefia wapi? Na je ana uhakika gani wamekufa kwa Korona? Na je ni wakati huu wa Korona pekee yake ndio Mapadre na Masista wanakufa? Hawakuwa wanakufa siku za nyuma? Atueleze kwa ukweli walikuwa wanakufa kwa idadi gani? Maana si anataka twende kwa hoja?

Nauliza hivi nikiwa najiamini na kwa bahati nzuri waliokufa wote nawafahamu na sababu za kufa kwao na hata waliokuwa wanakufa kabla ya Korona wanafahamika.

Padre Kitima sema ukweli kuwa Padre fulani alikuwa na ugonjwa wa Ukimwi (nahifadhi jina), sema ukweli Mapadre fulani walikuwa ni wagonjwa wa muda mrefu wakiugua kansa, presha, sukari na kiharusi (majina na kila ugonjwa ulikuwa unamsibu kila mmoja vipo).

Ukiri kuwa Mapadre hawa hasa wanaougua Ukimwi nyie huwaficha kule kwenye hospitali ya Rugambwa kwa matibabu ili wasionekane machoni pa jamii.

Unapotaka kuwajaza watu hofu kuwa wamekufa kwa Korona lengo lako hasa nini? Sawa Korona ipo, Je Padre Kitima au TEC wanajua suluhisho la uhakika la Korona kabla ya kuanza kunyooshea vidole ambao wanapambana kuondoa hofu na wasiwasi kwa wananchi ambayo tunaelezwa ni mbaya zaidi kuliko Korona yenyewe?

Padre Kitima na Askofu Ruwaichi wanaongea kama vile wananchi wamezuiwa kuvaa barakoa, nani kazuia kuvaa barakoa? Mbona hata yeye mwenyewe Padre Kitima kaitisha mkutano na waandishi wa habari na anazungumza bila kuvaa barakoa? Double standards.

Kama kweli tunataka kuchukua tahadhari zote kwa nini TEC wasikubaliane kufunga Makanisa Katoliki yote? Tuone kama Kanisa linaweza kuhimili mtikisiko wa kukosa sadaka na zaka. Kwa nini kwenye Misa Takatifu wanatulisha mkate wa bwana ambao unashikwa kwa mikono ya Mapadre na Maaskofu ambao Padre Kitima anadai wameingiliwa na Korona. Another double standards.

Ndugu zangu Mapadre na Maaskofu nilitarajia huu uwe ndio wakati wa nyie kuwahubiria Mataifa kumuangukia Mwenyezi Mungu lakini kwa bahati mbaya nyie wachache ndio mnakwenda tofauti kabisa. Mkae mkijua waumini hatuwaelewi kabisa.

Najua sio Maaskofu wala Mapadre wote wenye msimamo kama huu wa Padre Kitima na kikundi chake cha Maaskofu. Kuna ambao wanasikitishwa sana na tabia hizo za kuingilia masuala ya siasa na majukumu ya kiserikali.

Najua mbinu inayotumiwa na Padre Kitima na wenzake akina Askofu Yuda Ruwaichi, Askofu Amani Isack Massawe, Askofu Niwemugizi na Askofu Kinyaiya ni kuwashambulia viongozi wa awamu hii ya tano kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ukanda.

Lakini ni vizuri Padre Kitima ujue kuwa unaposhambulia wenzako hata wewe sio mtimilifu. Na kwa sababu unataka kuaminisha jamii kuwa wewe ni mtu safi leo nitasema madudu yako machache ili jamii ijue malengo yako maovu.

1. Tunajua wewe ni muumini na mtiifu wa Chama cha CHADEMA ambacho leo ndio kimeshika ajenda hii ya kuipinga Serikali na Rais kuhusu msimamo wake dhidi mbinu za kimagharibi za kukabiliana na ugonjwa huu wa Korona. Tunajua Mataifa ya nje yanavyoleta pesa ili kuudhohofisha msimamo wa Tanzania dhidi ya ugonjwa huu wa kutengenezwa.
  • Ushirika wako na CHADEMA hauna mashaka kwa sababu wewe ndiye uliyehusika kuandika Katiba ya CHADEMA (ukibisha tutaweka ushahidi) na bado ni mshauri wao.
  • Tunajua Rais Mstaafu Kikwete ilibidi ashirikiane na kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki hapa Tanzania (namhifadhi) kukuondoa katika wadhifa wa Mkuu wa Chuo cha SAUT kule Mwanza baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa unafanya siasa za upinzani badala ya jukumu lako la kupika wanafunzi. Ulijipa kazi ya kupinga kila kitu cha Serikali.
  • Tunajua kwa ushahidi jinsi ulivyohangaika kuandika Katiba ya UKAWA na kutoka matamko ya mara kwa mara ya kuunga mkono UKAWA na harakati zake.
  • Hata sasa tunajua jinsi unavyohangaika kuinua upinzani ambao umedhohofika sana kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ambayo imezimaliza kabisa ajenda za Upinzania Tanzania.

2. Usijifanye mtu safi, tunayajua maisha yako binafsi. Tunajua jinsi ulivyo fuska, tunawajua watoto wako uliowazaa na wake za watu ama mabinti ambao uliwarubuni kupitia Kanisa. Ukibisha tutawataja kwa majina.
- Tunajua jinsi unavyowanyanyasa wasichana watumishi wa Kanisa na pia Masista. Tunawajua vimada wako wote na unayafanya haya kinyume na sheria na kanuni za Upadre.

3. Tunajua kwa nini mpaka sasa hujapewa Uaskofu wakati wenzako wote wameshakuwa Maaskofu na wana Majimbo yao. Na sasa umekuwa na hasira za kupitiliza. Na bahati yako ndugu zako akina Ruwaichi wanakupigania sana.

4. Tunajua wewe ndiye uliyempeleka Tundu Lissu Ubelgiji kwa jamaa zako ili akatibiwe na kupata hifadhi huko. Na wewe ndiwe unafanya connection za upinzani wa Tanzania na upinzani wa Ujerumani. Ukitaka ushahidi tutaweka mezani, funua mdomo uone shughuli yake.

5. Usitake tuingie kwenye ufujaji wako wa rasilimali ndani ya Kanisa.

Nataka kuwasihi Watanzania wenzangu katika kipindi hiki ambacho dunia haina majibu juu ya janga la Korona, tuendelee kuchukua tahadhari kama ambavyo Rais wetu anasema, tumuombe Mungu sana sana atuepushe na janga hili lakini muhimu zaidi tusiwe na hofu na wasiwasi kwa sababu huo ndio unaua zaidi.

Nawakumbusha tu miaka ya 80 wakati UKIMWI unaingia watu walijazwa hofu na ikawa ukipata Ukimwi ni kama mwisho wa maisha. Tulishuhudia mtu anakutwa ana Ukimwi leo baada ya miezi michache tu anakufa. Watu walijazwa hofu na dunia haikuwa na majibu ya kukabiliana na Ukimwi. Miaka ya 2000 ikafanyika kampeni kubwa ya kutoa elimu ya Ukimwi, dawa za kufubaza virusi na kutoa ushauri nasaha. Leo watu wanaishi na Ukimwi umri wao wote kwa sababu wameondolewa hofu na wanazingatia njia bora za kufubaza virusi.

Ndio maana Serikali yetu inatuhimiza kuchukua tahadhari, kujifukiza, kufanya mazoezi na kutumia dawa zetu za asili zinazosaidia kukabiliana na magonjwa ya kupumua huku ikiwatoa hofu na wasiwasi wananchi.

Serikali yetu inatuhimiza kuchapa kazi na imekataa kufungia watu ndani ama kufunga biashara, ujenzi na uzalishaji viwandani na mashambani, kwa sababu madhara yake yatakuwa makubwa zaidi. Hebu fikiria maisha ya Watanzania waliowengi ambao hutegemea pato la siku kwa chakula na mahitaji mengine uamue kuwafungia ndani (lockdown) tutapata vifo vingapi vya njaa na utapiamlo? Tutawalisha nini Watanzania watakaokaa ndani bila kuzalisha chakula?

Wahudumu wetu wa afya wajifungie ndani nani atawatibu wagonjwa wetu wa magonjwa mengine hospitali? Ambao wamekuwepo hata kabla ya Korona.

Hivi jinsi mataifa ya nje yanavyotuchukia baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kuziba mianya ya kutuibia madini, mikataba mibovu ya ujenzi wa miundombinu, biashara za kinyonyaji, uwekezaji wa kutumaliza na mengine mengi tunatarajia yatatuletea barakoa na chanjo salama kweli? Wasiwasi akili ndugu zangu.

Nilikuwa napiga hesabu, wataalamu wanasema kwa siku mtu anatakiwa kutumia barakoa 4 sawa na barakoa moja kila baada ya saa 4. Kila barakoa moja inauzwa kati ya shilingi 1,000 na shilingi 2,000. Kwa Watanzania 60,000,000 zitahitajika barakoa 15,000,000 kila siku. Zipo?

Ama kila mmoja tukisema ajinunulie atahitaji shilingi kati ya 4,000 hadi 8,000 kwa siku, sawa na shilingi Bilioni 240 kwa siku moja na Trilioni 7.2 kwa mwezi au Trilioni 86 kwa mwaka. Hela hizi zipo hata kama ingekuwa robo yake au 1/10 yake?

Ndio maana nasema ndugu zangu Maaskofu na Mapadre acheni Serikali ifanye majukumu yake, shirikianeni nayo pale mnapoweza kama ambavyo mnafanya kwenye baadhi ya huduma za kijamii lakini hili la kushindana kwa hoja za kisiasa na kisayansi sina hakika kama mna uwezo huo.

Na mkitaka kujua hilo angalieni hata jinsi baadhi ya huduma mnazotoa zinavyopata changamoto hivi sasa. Vyuo, shule, hospitali, viwanda nk, ni kwa sababu Serikali ndiyo yenye jukumu kuu kwenye maeneo haya. Na inapotekeleza majukumu yake msikasirike na kuanza kushambuliana nayo. Maana najua hapa ndio mahali pengine penye moto. Kanisa Katoliki miradi yake imeguswa na msimamo wa Serikali wa kuleta nafuu kwa Watanzania mfano kutoa elimu bure kwenye shule za Serikali (kumesababisha baadhi ya shule za kikatoliki kupumilia mashine), kujenga hospitali, vituo vya afya na zahanati na kuvipatia dawa za kutosha (kumesababisha zile za Kikatoliki kudhohofika sana), kulipa mishahara mizuri watumishi wa shule na hospitali za Serikali kumesababisha zile za Kikatoliki kukimbiwa, kujenga vyuo vya VETA kumesababisha vyuo vya kikatoliki kufifia, kubana ukwepaji kodi kumesababisha Kanisa Katoliki kulia kwa sababu liliingiza bidhaa nyingi tena zisizohusiana na huduma za Dini bila kulipa kodi n.k

Mwisho nawatakia Kwaresma njema, tuendelee kufunga na kuomba kwa sababu Mungu wetu ni mwema na mwenye upendo atatuvusha na janga hili kama alivyotuvusha kwenye changamoto nyingine nyingi. Tuwaombe viongozi wetu wa Dini wakumbuke kukaa kwenye imani, tuwaombee viongozi wetu wa Serikali wawe na hekima, busara na upendo kwetu Taifa la Mungu.

Nawatakia siku njema.
Ni mimi Mlei Bw. Thadey John Tululu wa Dar es Salaam.
Machi 04, 2021.

Tumsifu Yesu Kristo.

IMG_20210305_091132_014.jpg
 
Mkuu Kuna watu wanafiki Sana Hapa Umemaliza... Naumia Sana kuona mwanaume anakuwa na akili fupi kiasi hiki.... Anabwabwaja tuu Sijui anajifikiriaje...
Hii Nchi inaelekea kubaya sana! Mawakala wa shetani wako kwenye ajira ya viongozi wa kitaifa kujaribu kupotosha ukweli na uhalisia! Leo hii viongozi wa kisiasa ndio wanahubiri dini, kusisitiza sala ilhali wanayoyafanya hawajui kuwa Mungu anawaona. Sasa ona vibaraka wengi wanaingia na kukashifu kanisa, tena kutoa shutuma zisizo na ushahidi juu ya watumishi wa Mungu! Bure kabisa!!! Tuwalaani wote wenye kulielekeza taifa shimoni! Kweli hakuna mapadre na masista waliokufa korona!? Mbona nawajua wengi tu na wengine ndugu zangu!?
 
Tumsifu Yesu Kristo.View attachment 1717797
namba yk ya simu kaka umesahau kuweka,
 
Kamsifu Kristo wako unayemjua, sisi tuko pamoja na viongozi wetu[emoji3525]
Unforgetable
 
A Pure nonsense.

Kila uchao watu wanakufa, je watu wa Mungu wakae kimya??? ---- dunia nzima ni kilio kuhusu Corona sisi tu kwa fikra za mtu mmoja tunataka kujifanya UNIQUE katika suala hilo !!!.
 
Back
Top Bottom