Viongozi wangu wa Kanisa Katoliki shida nini?

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
899
Reaction score
999
VIONGOZI WANGU WA KANISA KATOLIKI, SHIDA NINI?

Ukimsikiliza Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dk. Charles Kitima na ukaunganisha na kauli za Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Ruwaichi unaona moja kwa moja viongozi hawa wanavyojielekeza kuupinga msimamo wa Serikali juu ya janga la ugonjwa wa Korona.

Unaona dhahiri wanavyojaza hofu na wasiwasi kwa jamii badala ya kuwa wafariji na wajenzi wa matumaini huku wakiwasihi Watanzania kumuomba Mungu aepushe Korona.

Unaona wazi jinsi walivyoamua kuacha hoja ya imani ambayo ndio jukumu la msingi la Kanisa na kujenga hoja za kisayansi ambazo mpaka sasa wanasayansi wameshindwa kukubaliana juu ya ugonjwa wa Korona na namna ya kukabiliana nao.

Nikiwa Mkatoliki inaniuma sana kuona na kusikia kauli hizi za viongozi wangu, na bahati mbaya ni hawahawa ambao hujitokeza mara kwa mara kupambana na Serikali kama vile Kanisa nalo ni tawi la chama cha siasa. Kama vile Kanisa Katoliki Tanzania linayo Serikali nyingine linaloitumikia. Wanajisahaulisha hata maelekezo ya maandiko matakatifu yanayowataka kutii mamlaka zilizopo duniani kwa sababu zimewekwa na Mungu. Hii ni shida.

Juzi Padre Kitima anaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuwajaza hofu na mashaka wananchi kuhusu Korona. Anadai Mapadre 25 wamekufa kwa Korona pia Masista wamekufa kwa Korona, anahimiza waziwazi kuwa Watanzania wanadanganywa kwa msimamo wa Serikali juu ya janga hili.

Labda nimuulize Padre Kitima hao Mapadre na Masista waliokufa ni akina nani? Wamefia wapi? Na je ana uhakika gani wamekufa kwa Korona? Na je ni wakati huu wa Korona pekee yake ndio Mapadre na Masista wanakufa? Hawakuwa wanakufa siku za nyuma? Atueleze kwa ukweli walikuwa wanakufa kwa idadi gani? Maana si anataka twende kwa hoja?

Nauliza hivi nikiwa najiamini na kwa bahati nzuri waliokufa wote nawafahamu na sababu za kufa kwao na hata waliokuwa wanakufa kabla ya Korona wanafahamika.

Padre Kitima sema ukweli kuwa Padre fulani alikuwa na ugonjwa wa Ukimwi (nahifadhi jina), sema ukweli Mapadre fulani walikuwa ni wagonjwa wa muda mrefu wakiugua kansa, presha, sukari na kiharusi (majina na kila ugonjwa ulikuwa unamsibu kila mmoja vipo).

Ukiri kuwa Mapadre hawa hasa wanaougua Ukimwi nyie huwaficha kule kwenye hospitali ya Rugambwa kwa matibabu ili wasionekane machoni pa jamii.

Unapotaka kuwajaza watu hofu kuwa wamekufa kwa Korona lengo lako hasa nini? Sawa Korona ipo, Je Padre Kitima au TEC wanajua suluhisho la uhakika la Korona kabla ya kuanza kunyooshea vidole ambao wanapambana kuondoa hofu na wasiwasi kwa wananchi ambayo tunaelezwa ni mbaya zaidi kuliko Korona yenyewe?

Padre Kitima na Askofu Ruwaichi wanaongea kama vile wananchi wamezuiwa kuvaa barakoa, nani kazuia kuvaa barakoa? Mbona hata yeye mwenyewe Padre Kitima kaitisha mkutano na waandishi wa habari na anazungumza bila kuvaa barakoa? Double standards.

Kama kweli tunataka kuchukua tahadhari zote kwa nini TEC wasikubaliane kufunga Makanisa Katoliki yote? Tuone kama Kanisa linaweza kuhimili mtikisiko wa kukosa sadaka na zaka. Kwa nini kwenye Misa Takatifu wanatulisha mkate wa bwana ambao unashikwa kwa mikono ya Mapadre na Maaskofu ambao Padre Kitima anadai wameingiliwa na Korona. Another double standards.

Ndugu zangu Mapadre na Maaskofu nilitarajia huu uwe ndio wakati wa nyie kuwahubiria Mataifa kumuangukia Mwenyezi Mungu lakini kwa bahati mbaya nyie wachache ndio mnakwenda tofauti kabisa. Mkae mkijua waumini hatuwaelewi kabisa.

Najua sio Maaskofu wala Mapadre wote wenye msimamo kama huu wa Padre Kitima na kikundi chake cha Maaskofu. Kuna ambao wanasikitishwa sana na tabia hizo za kuingilia masuala ya siasa na majukumu ya kiserikali.

Najua mbinu inayotumiwa na Padre Kitima na wenzake akina Askofu Yuda Ruwaichi, Askofu Amani Isack Massawe, Askofu Niwemugizi, Askofu Kilaini na Askofu Kinyaiya ni kuwashambulia viongozi wa awamu hii ya tano kutokana na maslahi yao ya kisiasa na ukanda.

Lakini ni vizuri Padre Kitima ujue kuwa unaposhambulia wenzako hata wewe sio mtimilifu. Na kwa sababu unataka kuaminisha jamii kuwa wewe ni mtu safi leo nitasema madudu yako machache ili jamii ijue malengo yako maovu.

1. Tunajua wewe ni muumini na mtiifu wa Chama cha CHADEMA ambacho leo ndio kimeshika ajenda hii ya kuipinga Serikali na Rais kuhusu msimamo wake dhidi mbinu za kimagharibi za kukabiliana na ugonjwa huu wa Korona. Tunajua Mataifa ya nje yanavyoleta pesa ili kuudhohofisha msimamo wa Tanzania dhidi ya ugonjwa huu wa kutengenezwa.
  • Ushirika wako na CHADEMA hauna mashaka kwa sababu wewe ndiye uliyehusika kuandika Katiba ya CHADEMA (ukibisha tutaweka ushahidi) na bado ni mshauri wao.
  • Tunajua Rais Mstaafu Kikwete ilibidi ashirikiane na kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki hapa Tanzania (namhifadhi) kukuondoa katika wadhifa wa Mkuu wa Chuo cha SAUT kule Mwanza baada ya kujiridhisha kuwa ulikuwa unafanya siasa za upinzani badala ya jukumu lako la kupika wanafunzi. Ulijipa kazi ya kupinga kila kitu cha Serikali.
  • Tunajua kwa ushahidi jinsi ulivyohangaika kuandika Katiba ya UKAWA na kutoka matamko ya mara kwa mara ya kuunga mkono UKAWA na harakati zake.
  • Hata sasa tunajua jinsi unavyohangaika kuinua upinzani ambao umedhohofika sana kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ambayo imezimaliza kabisa ajenda za Upinzania Tanzania.

2. Usijifanye mtu safi, tunayajua maisha yako binafsi. Tunajua jinsi ulivyo fuska, tunawajua watoto wako uliowazaa na wake za watu ama mabinti ambao uliwarubuni kupitia Kanisa. Ukibisha tutawataja kwa majina.
- Tunajua jinsi unavyowanyanyasa wasichana watumishi wa Kanisa na pia Masista. Tunawajua vimada wako wote na unayafanya haya kinyume na sheria na kanuni za Upadre.

3. Tunajua kwa nini mpaka sasa hujapewa Uaskofu wakati wenzako wote wameshakuwa Maaskofu na wana Majimbo yao. Na sasa umekuwa na hasira za kupitiliza. Na bahati yako ndugu zako akina Ruwaichi wanakupigania sana.

4. Tunajua wewe ndiye uliyempeleka Tundu Lissu Ubelgiji kwa jamaa zako ili akatibiwe na kupata hifadhi huko. Na wewe ndiwe unafanya connection za upinzani wa Tanzania na upinzani wa Ujerumani. Ukitaka ushahidi tutaweka mezani, funua mdomo uone shughuli yake.

5. Usitake tuingie kwenye ufujaji wako wa rasilimali ndani ya Kanisa.

Nataka kuwasihi Watanzania wenzangu katika kipindi hiki ambacho dunia haina majibu juu ya janga la Korona, tuendelee kuchukua tahadhari kama ambavyo Rais wetu anasema, tumuombe Mungu sana sana atuepushe na janga hili lakini muhimu zaidi tusiwe na hofu na wasiwasi kwa sababu huo ndio unaua zaidi.

Nawakumbusha tu miaka ya 80 wakati UKIMWI unaingia watu walijazwa hofu na ikawa ukipata Ukimwi ni kama mwisho wa maisha. Tulishuhudia mtu anakutwa ana Ukimwi leo baada ya miezi michache tu anakufa. Watu walijazwa hofu na dunia haikuwa na majibu ya kukabiliana na Ukimwi. Miaka ya 2000 ikafanyika kampeni kubwa ya kutoa elimu ya Ukimwi, dawa za kufubaza virusi na kutoa ushauri nasaha. Leo watu wanaishi na Ukimwi umri wao wote kwa sababu wameondolewa hofu na wanazingatia njia bora za kufubaza virusi.

Ndio maana Serikali yetu inatuhimiza kuchukua tahadhari, kujifukiza, kufanya mazoezi na kutumia dawa zetu za asili zinazosaidia kukabiliana na magonjwa ya kupumua huku ikiwatoa hofu na wasiwasi wananchi.

Serikali yetu inatuhimiza kuchapa kazi na imekataa kufungia watu ndani ama kufunga biashara, ujenzi na uzalishaji viwandani na mashambani, kwa sababu madhara yake yatakuwa makubwa zaidi. Hebu fikiria maisha ya Watanzania waliowengi ambao hutegemea pato la siku kwa chakula na mahitaji mengine uamue kuwafungia ndani (lockdown) tutapata vifo vingapi vya njaa na utapiamlo? Tutawalisha nini Watanzania watakaokaa ndani bila kuzalisha chakula?

Wahudumu wetu wa afya wajifungie ndani nani atawatibu wagonjwa wetu wa magonjwa mengine hospitali? Ambao wamekuwepo hata kabla ya Korona.

Hivi jinsi mataifa ya nje yanavyotuchukia baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kuziba mianya ya kutuibia madini, mikataba mibovu ya ujenzi wa miundombinu, biashara za kinyonyaji, uwekezaji wa kutumaliza na mengine mengi tunatarajia yatatuletea barakoa na chanjo salama kweli? Wasiwasi akili ndugu zangu.

Nilikuwa napiga hesabu, wataalamu wanasema kwa siku mtu anatakiwa kutumia barakoa 4 sawa na barakoa moja kila baada ya saa 4. Kila barakoa moja inauzwa kati ya shilingi 1,000 na shilingi 2,000. Kwa Watanzania 60,000,000 zitahitajika barakoa 15,000,000 kila siku. Zipo?

Ama kila mmoja tukisema ajinunulie atahitaji shilingi kati ya 4,000 hadi 8,000 kwa siku, sawa na shilingi Bilioni 240 kwa siku moja na Trilioni 7.2 kwa mwezi au Trilioni 86 kwa mwaka. Hela hizi zipo hata kama ingekuwa robo yake au 1/10 yake?

Ndio maana nasema ndugu zangu Maaskofu na Mapadre acheni Serikali ifanye majukumu yake, shirikianeni nayo pale mnapoweza kama ambavyo mnafanya kwenye baadhi ya huduma za kijamii lakini hili la kushindana kwa hoja za kisiasa na kisayansi sina hakika kama mna uwezo huo.

Na mkitaka kujua hilo angalieni hata jinsi baadhi ya huduma mnazotoa zinavyopata changamoto hivi sasa. Vyuo, shule, hospitali, viwanda nk, ni kwa sababu Serikali ndiyo yenye jukumu kuu kwenye maeneo haya. Na inapotekeleza majukumu yake msikasirike na kuanza kushambuliana nayo. Maana najua hapa ndio mahali pengine penye moto. Kanisa Katoliki miradi yake imeguswa na msimamo wa Serikali wa kuleta nafuu kwa Watanzania mfano kutoa elimu bure kwenye shule za Serikali (kumesababisha baadhi ya shule za kikatoliki kupumilia mashine), kujenga hospitali, vituo vya afya na zahanati na kuvipatia dawa za kutosha (kumesababisha zile za Kikatoliki kudhohofika sana), kulipa mishahara mizuri watumishi wa shule na hospitali za Serikali kumesababisha zile za Kikatoliki kukimbiwa, kujenga vyuo vya VETA kumesababisha vyuo vya kikatoliki kufifia, kubana ukwepaji kodi kumesababisha Kanisa Katoliki kulia kwa sababu liliingiza bidhaa nyingi tena zisizohusiana na huduma za Dini bila kulipa kodi n.k

Mwisho nawatakia Kwaresma njema, tuendelee kufunga na kuomba kwa sababu Mungu wetu ni mwema na mwenye upendo atatuvusha na janga hili kama alivyotuvusha kwenye changamoto nyingine nyingi. Tuwaombe viongozi wetu wa Dini wakumbuke kukaa kwenye imani, tuwaombee viongozi wetu wa Serikali wawe na hekima, busara na upendo kwetu Taifa la Mungu.

Nawatakia siku njema.
Ni mimi Mlei Bw. Thadey John Tululu wa Dar es Salaam.
Machi 04, 2021.

Tumsifu Yesu Kristo.
 
Sentensi yako ya mwisho, huwezi kumuombea mtu busara na hekima pamoja na upendo kutoka kwa Mungu hivyo anazaliwa navyo. Parokiani kwenu wamekufa wangapi tangu pandemic imeanza? Parokiani kwetu nia zaidi ya ya watano(UWAKA) je bado hakuna ugonjwa? Tutumie akili tulizopewa na Mungu
 
Hudumia wana Iringa achana na habari za kuungaunga.Cheo ni dhamana
 
Sasa Mkuu Ulikuwa wapi siku zote kutoa Haya Mambo binafsi ya Padre Kitime??? Ina maana asingesimama Juzi kuongelea vifo usingesema?? Kwa hiyo wewe Ni muumini mnafiki?? Pole Sana Kama kula kwako Ni kwa Njia ya Kinafiki..
 
Leo umekua mkazi wa dar tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_2021-03-04-13-08-54.jpg
Screenshot_2021-03-04-13-09-48.jpg
Screenshot_2021-03-04-13-10-29.jpg
 
Back
Top Bottom