Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,608
- 5,488
Na hiki ndio Wananchi tunataka, sio kumnyenyekea mtu.Yanga wanafahamu yote yatakayo kwenda kutokea na wako tayari ku katwa point 15 na kushushwa Daraja.
Hersi amekuja kuiua Yanga halafu anaenda zake Kongwa kugombea ubunge.Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.
CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.
Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.
Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?
Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
Bora tushushwe daraja au tukose ubingwa ila uongozi wa tff utoke au uamue kuwa fair kwenye uongozi wao ,kinachoendelea na marefa wao ni bora timu nyingine zisicheze waipe ubingwa timu wanayoitaka wao ,Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.
CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.
Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.
Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?
Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
Kama walishindwa kuishusha Simba iliyo stahili kushushwa kwa kuogopa kutumia kanuni pia hawawezi kuishusha Yanga kwa kanuni izoizo.Tunaiomba kilichotokea huko Championship kwa Biashara united tukione na huku ligi kuu!
Hatuhitaji mambo ya busara tena kwenye mpira wa nchi hii.
Utakojoa misumari lakini mechi ipo pale pale, kenge weweYanga wapo sahihi bora wasicheze mechi ili kukomesha ujinga wa kuvuruga mechi kwa kutoa taarifa saa sita mchana mechi ya jioni na hakuna tatizo lolote la usalama au kitu muhimu kinachoweza kufanya mechi isichezwe watu wanatoka mbali kwa ajili ya mechi TFF wanafanya wanavyotaka siku ingine hawatatangaza hayo mambo yao iwe kwa Simba au Yanga.
Daah mimi situkani mkuu kisa mpira na kutukana kunaonyesha jinsi ulivyolelewa hovyo na kukosa ustaarabu nyumba nzima mnatukanana kama mpo ukanda Gaza..Utakojoa misumari lakini mechi ipo pale pale, kenge wewe
Tilia dawa iwaingie hata mimi naunga mkono uamuzi wa viongozi wangu kutocheza dabi acha tushuke daraja nyie endeleeni na ujinga wenu kupitia TFF ikiwezekana tuamie Zanzibar tucheze huko.Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.
CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.
Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.
Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?
Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
Simba walikuwa na sababu hata kama haikuwa na mashiko,Yanga hawana sababu yoyote ni ukaidi tu ndiyo maana hawataachwa kipindi hiki.Kama walishindwa kuishusha Simba iliyo stahili kushushwa kwa kuogopa kutumia kanuni pia hawawezi kuishusha Yanga kwa kanuni izoizo.
Na Yanga hawana sababu na hawawezi kufanywa chochote.Simba walikuwa na sababu hata kama haikuwa na mashiko,Yanga hawana sababu yoyote ni ukaidi tu ndiyo maana hawataachwa kipindi hiki.
kumbe hata sababu isiyo na mashiko ni sababu hahahahahaa upofu huuSimba walikuwa na sababu hata kama haikuwa na mashiko,Yanga hawana sababu yoyote ni ukaidi tu ndiyo maana hawataachwa kipindi hiki.
Ngoja tuone Mkuu.Na Yanga hawana sababu na hawawezi kufanywa chochote.
Mkuu wewe ni utopolo hutokuja kuwa na akili maisha yako yote.Hamtakuja mrudie tena ule utoto wenu wa kususia mechi kwa sababu tu ya kuzuiwa kwenda kuroga.