TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Yap, ila hao walikuwa vionhozi wa juu kabisa,Mkumbo alikuwa mshauri tu.Umesahau Kitila Mkumbo
Hakuna double standard hapaHawa wa ACT ns Mrema watoe kwenye list ya upnzani.
Zitto, Mnyika na Lissu wameshiriki wizi wa madini habari zao tunazo hawafai. Walikuwa kwenye payroll ya ACACIAZitto anakwenda kuteuliwa nafasi nyeti zaidi! Maajabu yapo njiani!!!
Taarifa zao mnazo!!?? Kwani wewe ndo mbeba taarifa? Au unafanya kazi masijala ya CCM!!?Zitto, Mnyika na Lissu wameshiriki wizi wa madini habari zao tunazo hawafai. Walikuwa kwenye payroll ya ACACIA
Una maana gani kusema watolewe kwenye upinzani ?Hawa wa ACT ns Mrema watoe kwenye list ya upnzani.
Watu kama hawa mnasema mna taarifa zao kwanini wasipelekwe mahakamani? Si ushahidi upo, na wakipatikana na hatia wanyongwe kabisa.Zitto, Mnyika na Lissu wameshiriki wizi wa madini habari zao tunazo hawafai. Walikuwa kwenye payroll ya ACACIA
Wengine tunafanyakazi huku migodini, tunapishana nao sana huku wakichukua chaoTaarifa zao mnazo!!?? Kwani wewe ndo mbeba taarifa? Au unafanya kazi masijala ya CCM!!?
Ao ni fake Voice note maker, wanajiandaa kutengeza payrol fake...soon utaona bomu linalokuja la kutengeneza yaani watu wanatetea mikataba ya hovyo kinyume nyume kwa kuwatengeneza wengine zengwe ili kuhamisha akili za watu dah roho inaniuma sana alafu unaweza kuta hawa wote ni vijana kabisa around 30 yearsTaarifa zao mnazo!!?? Kwani wewe ndo mbeba taarifa? Au unafanya kazi masijala ya CCM!!?
Unafikiri mahakamani watu wanapelekwa pelekwa tu hovyo. Jirani yako yule anayekutafunia mke wako umempeleka Mahakamani?Watu kama hawa mnasema mna taarifa zao kwanini wasipelekwe mahakamani? Si ushahidi upo, na wakipatikana na hatia wanyongwe kabisa.
Ila kama ni siasa hapa utakuwa umechemka, maana watanzania wa 2017 siyo wale wa enzi ya Nyerere, we verified documents
Wewe hujui anachokifanya Mnuika huku Buzwagi, kaa kimyaAo ni fake Voice note maker, wanajiandaa kutengeza payrol fake...soon utaona bomu linalokuja la kutengeneza yaani watu wanatetea mikataba ya hovyo kinyume nyume kwa kuwatengeneza wengine zengwe ili kuhamisha akili za watu dah roho inaniuma sana alafu unaweza kuta hawa wote ni vijana kabisa around 30 years
Wewe umesema una documents, ni vizuri kutumia hizo documents kuwafunga hao jamaa.Unafikiri mahakamani watu wanapelekwa pelekwa tu hovyo. Jirani yako yule anayekutafunia mke wako umempeleka Mahakamani?
Onesha payroll tuione kutafuta ukatibu tarafaZitto, Mnyika na Lissu wameshiriki wizi wa madini habari zao tunazo hawafai. Walikuwa kwenye payroll ya ACACIA
Unaelewa nipo wapi au unaropoka tu?Wewe hujui anachokifanya Mnuika huku Buzwagi, kaa kimya