Viongozi Wa Upinzani Waliowahi Kuteuliwa na Rais

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
2017-06-06-16-50-16--1795296394.jpeg
ISMAIL JUSSA-JK
2017-06-06-16-32-06--872158795.jpeg
JAMES MBATIA-JK
2017-06-06-16-34-08--306248594.jpeg
HAMAD RASHID-MOHAMED -SHEIN

2017-06-06-16-31-21--1795296394.jpeg
LYATONGA MREMA-JPM
2017-06-06-16-33-06--1636786993.jpeg
MAMA ANNA MUGWHIRA-JPM
 
Zitto, Mnyika na Lissu wameshiriki wizi wa madini habari zao tunazo hawafai. Walikuwa kwenye payroll ya ACACIA
Watu kama hawa mnasema mna taarifa zao kwanini wasipelekwe mahakamani? Si ushahidi upo, na wakipatikana na hatia wanyongwe kabisa.
Ila kama ni siasa hapa utakuwa umechemka, maana watanzania wa 2017 siyo wale wa enzi ya Nyerere, we verified documents
 
Taarifa zao mnazo!!?? Kwani wewe ndo mbeba taarifa? Au unafanya kazi masijala ya CCM!!?
Ao ni fake Voice note maker, wanajiandaa kutengeza payrol fake...soon utaona bomu linalokuja la kutengeneza yaani watu wanatetea mikataba ya hovyo kinyume nyume kwa kuwatengeneza wengine zengwe ili kuhamisha akili za watu dah roho inaniuma sana alafu unaweza kuta hawa wote ni vijana kabisa around 30 years
 
Watu kama hawa mnasema mna taarifa zao kwanini wasipelekwe mahakamani? Si ushahidi upo, na wakipatikana na hatia wanyongwe kabisa.
Ila kama ni siasa hapa utakuwa umechemka, maana watanzania wa 2017 siyo wale wa enzi ya Nyerere, we verified documents
Unafikiri mahakamani watu wanapelekwa pelekwa tu hovyo. Jirani yako yule anayekutafunia mke wako umempeleka Mahakamani?
 
Ao ni fake Voice note maker, wanajiandaa kutengeza payrol fake...soon utaona bomu linalokuja la kutengeneza yaani watu wanatetea mikataba ya hovyo kinyume nyume kwa kuwatengeneza wengine zengwe ili kuhamisha akili za watu dah roho inaniuma sana alafu unaweza kuta hawa wote ni vijana kabisa around 30 years
Wewe hujui anachokifanya Mnuika huku Buzwagi, kaa kimya
 
Unafikiri mahakamani watu wanapelekwa pelekwa tu hovyo. Jirani yako yule anayekutafunia mke wako umempeleka Mahakamani?
Wewe umesema una documents, ni vizuri kutumia hizo documents kuwafunga hao jamaa.
Pia suala la mke sina ushahidi, ningekuwa na ushahidi ningeenda, kwa nini niogope sheria na huku nina ushahidi.
 
Kwel huku mtandaon watu niwanafiki sana yaan hao wakina jusa walikua sio wapinzan walipoteuliwa?kweli kunya anye kuku akinya bata ameharisha
 
Back
Top Bottom