Viongozi wa simba acheni dhulma

Viongozi wa simba acheni dhulma

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
kama hii habari ni kweli viongozi wa simba wadhulumaji wakubwa.

Ni kwamba mkude alitaka ml 80 mkamsanisha cash ml 25 na mkamwambia na hiyo gari thamani yake ml 60 jamani hiyo gari ya mkude ml 60 kweli mkataba miaka 3 nawaombeni kiubinadamu mumlipe haki yake
 
Back
Top Bottom