CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata aibu ya mwaka baada ya Katibu wake,Emanuel Lengwa ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la NIPASHE kutwangana ngumi na Mweka Hazina wa MBPC,Brandy Nelson ambaye ni mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ofisini wakati wa kikao.Sababu za kutwangana ni mmoja wao kuchelewa kwenye kikao.Wadau hawa wanafaa kuwa viongozi?