Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Viongozi wa kijiji pamoja na wazazi kweli wameshindwa kuweka gogo la pili na kupigilia vipande vya mbao ili watoto na wao wenyewe waweze kupita kwa usalama zaidi? Ahhh Hilo Nalo ni Jipu kubwa Serikali iangalie kwa umakini zaidi kulitumbuwa.