Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu .
Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni watu wa kusifu chama tawala na kuwaponda wale wote ambao wanaenda kinyume na chama tawala.
Ingekuwa kidogo inaleta mantiki kama wangejikita zaidi kwenye suala la dini na kutoingiza dini na siasa .
Kwa upande wakristo nimeona wengi wanahitaji mabadiliko , tumewasikia wachungaji kadhaa nje na ndani ya nchi, tena wengine wameenda mbali zaidi kwa kukataza muumini yeyote kuingia kanisani kama amevaa Tshirt au kofia au vazi la aina yoyote ile yenye maana ya kisiasa na wamewaonya vikali waumini wao wasitumike na wanasiasa , na hii ilikuja siku chache yule nywi nywi nywi kuombewa na watawa .
Mashekhe wakishapewa pesa ya ubwabwa akili yote inawaruka.
Natamani nchi ikichukuliwa na wapinzani ,hata baklava nayo ivunjwe isukwe upya kabisa.
Napost baadhi ya videos hapo chini kusindikiza uzi. 👇👇👇👇👇