Viongozi wa kiislamu wameelewa elimu ya Subra...

Viongozi wa kiislamu wameelewa elimu ya Subra...

Pamoja na subra waliyonayo viongozi wetu wa kiislamu ila uwezo wao "upstairs" ni mdogo sana. Hawana la kusema maana uwezo wa kupambanua mambo, uthubutu wa kusema na kuonya ni finyu. Sana sana watasema tu kwa maagizo ya wanasiasa (kutumiwa)
Waislaam ndo waliomsaidia Nyerere kudai uhuru. So usi underrate usio wajua !
Wenye upstairs ndogo ni wale wanao pigia magoti masanamu.
IMG-20180328-WA0007.jpg
 
Aliissisitiza sana Mtume Mohammed S.W ...
Tupo kwenye kipindi cha mpito
Masheik na Maimam acha wafu wazikane wenyewe...
Nilikuwa najiuliza y mko kimya kumbe busara inawaongoza. ...
viongozi wa kiislam au tawi la ccm liitwalo BAKWATA? waislamu waliowengi kiongozi wao ni sheikhe Ponda Issa bin Ponda . sio wale wapaka mikorogo wanaowapa kina mange mwaka mmoja mkuu. kama wewe ni muislamu uislamu ni dini ya haki na inawasemea wote wanaoonewa wakiwemo wasio waislamu. siku waislamu wenyewe wakisema hutapata hata wasaa wa kusndika humu.
Taqbiriiiiiiiiiiiiiiiir........
 
Hii habari ya makao makuu imewauma sana Ila haina jinsi endeleeni kuumia hivyohivyo hadi roho zenu zitakapotoka.
....hakuna kitu inatumaa kama MoU !
Ule ni wizi wa wazi wazi wa kikiristo uliotengenezwa na mkiristo mwizi mashuhuri.
 
Wewe jamaa toka ulivyo azisha uzi wa kuwaponda watu walio soma chuo tofauti na UD ndio nilikufaham hapa JF.
Nadhani kichwani kwako hakuko vzr, uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Pamoja na subra waliyonayo viongozi wetu wa kiislamu ila uwezo wao "upstairs" ni mdogo sana. Hawana la kusema maana uwezo wa kupambanua mambo, uthubutu wa kusema na kuonya ni finyu. Sana sana watasema tu kwa maagizo ya wanasiasa (kutumiwa)
....Kwa hakika Binadamu yuko kwenye hasara..........isipokuwa....................kwa yule mwenye kutenda mema na mwenye kusubiri.

Hayo ni maandiko muzee. Subira ni sehemu ya maisha ya waislamu.
 
Masheikh wetu wa BAKWATA ni njaa kali, ukiwapa ubwabwa tu kwisha kazi.
 
viongozi wa kiislam au tawi la ccm liitwalo BAKWATA? waislamu waliowengi kiongozi wao ni sheikhe Ponda Issa bin Ponda . sio wale wapaka mikorogo wanaowapa kina mange mwaka mmoja mkuu. kama wewe ni muislamu uislamu ni dini ya haki na inawasemea wote wanaoonewa wakiwemo wasio waislamu. siku waislamu wenyewe wakisema hutapata hata wasaa wa kusndika humu.
Taqbiriiiiiiiiiiiiiiiir........
...na wewe ndo msemaji wao ! Kafirrrr !
 
Kuna watu wanatafutaga mivutano na maneno yasiyokuwa kuwa na tija

Ukimya huu sio woga ila ni mshangao tunapoona nyie wenyewe kuna mambo hayako sawa
Mlichotegemea na kinachoendelea ni mbingu na ardhi.
Acha tuwe watizamaji tu
Heshima, upendo na amani tuwe navyo sana
Haya have a nice holiday
 
Wewe jamaa toka ulivyo azisha uzi wa kuwaponda watu walio soma chuo tofauti na UD ndio nilikufaham hapa JF.
Nadhani kichwani kwako hakuko vzr, uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Nashukuru kwa kunifahamu,ujumbe umefika
 
Nchi imejaa wanafiki, waongo, wasiojielewa na wasio fahamika. Kweli Mungu mkubwa hyo yote ni kutimiza unabii wake tu. KAZI YAKE MUNGU HAINA MAKOSA.
 
Bakwata ni bara na visiwani
acha kusingizia,Bakwata sio muungano na ndio maana unakuta Zanzibar kuna kadhi na kuna Mufti wake ambao kihadhi wanaheshimiwa kama Jaji mkuu na mwanasheria mkuu wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom