joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
MY TAKE: Tungekua na uongozi imara, nilitegemea serikali ya Tanzania kujibu kwa nguvu zote hili jambo la viongozi wa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya Tanzania Kama tulivyojibu mapigo kufuatia kauli za kijinga za Jaguar hatimaye serikali ya Kenya ilijitenga mbali na Jaguar.
Kenya imekua ikifanya "operations" za namna hii mara nyingi kushinda Tanzania dhidi ya wamaasai na jamii tofauti lakini hakuna mtanzania yeyote aliyewahi kulizungumzia kwa kuheshimu maamuzi ya ndani ya Kenya, hiyo Haina maana kwamba Kila kinachofanywa na serikali ya Kenya kwa watu wake ni sahihi, lengo ni kuhepusha migongano na kudumisha ujirani mwena, hiyo ndio Siri kubwa inayoifanya Tanzania kuwa na mahusiano mazuri na majirani wote na Kenya kukwaruzana na majirani wote.
Tony254
Geza Ulole
dyfre The best 007