Viongozi wa Kamisheni ya Olimpiki Wateuliwa

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
306
281
Mwenyekiti : Khalid Lushanga

Katibu : Faustini Mussa

Wajumbe
1.John Yuda
2.Andrew Mlungu
3.Restituta Joseph
4.Zakia Mrisho

Wajumbe wateule, wanatakiwa wawe ni wanariadha waliowahi kushiriki mbio za Olimpiki.
 
22 Aug 2019

Sydney Gidabuday akifanya Mazoezi Arusha Tanzania

Sydney Gidabuday ni Mwanariadha wa Kimataifa na Mtoto wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania ,Wilhelm Gidabuday kutoka Marekani (NCAA ) , akifanya mazoezi na baadhi ya Wanariadha wakongwe wa Tanzania katika viwanja vya Ilboru, Arusha.

Source : Riadha TV online
 
29 Sept 2019
Doha, Qatar

Katibu Mkuu (RT) wa zamani, WILHELM GIDABUDAY Akielezea Changamoto za mbio huko DOHA QATAR na kusisitiza wadau na wafadhili kuwekeza pesa ktk riadha ili matokeo chanya yapatikane, na inawezekana Tanzania kuwa jina tajwa ktk riadha duniani kama Kenya, Ethiopia, Eritrea , Morocco n.k


29 Sept 2019
Wilhelm Gidabuday akizungumzia Mashindano ya Dunia ya Riadha yaliyofanyika huko Doha Qatar, na changamoto mbalimbali hasa hali ya Hewa (Joto kali).
Source : Raidha tv online
 
Back
Top Bottom