marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
Reputation yako hapa ilikuwa kubwa sana, usiendelee kuiharibu zaidi ya ilivyokwishaharibika.
Have a great weekend
Bora umemuambia. ..
Reputation yako hapa ilikuwa kubwa sana, usiendelee kuiharibu zaidi ya ilivyokwishaharibika.
Have a great weekend
Kama hujui UKAWA lazima utakuwa na tatizo la kiakili, so wahi Mawenzi au MirembeTueleze mkuu,
Hivi UKAWA ni NGO, SACCOS, au kitu gani? Sio unadai tu tuwaunge mkono kitu tusichokifahamu!