Viongozi wa Dini Wanunuliwa LEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Dini Wanunuliwa LEO

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wa Ndima, Oct 30, 2010.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Jamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo Umma linalochapwa kila siku ambalo lilikuwa la wiki, Hoja lililokuwa litoke 29.10.10 ila linatoka 30.10.10 na Nyakati linalochapwa mara mbili yaani 30.10.10 lenye kumpigia kampeni JK na lile la kawaida litakalotoka 31.10.10 siku ya uchaguzi

  Watumishi hawa waliokula Mlungula kuiuza nchi yao kama Yuda Iskariote ni Mch. Steven Ibrahim, Sheikh Mohammed Idd Mohammed, Askofu Mkuu David Batenzi wa PCT, Mwinjilisti Inncent Bilakatwe, Askofu Sylvester Gamanywa na Mhariri wa Gazeti Nyakati, Mr. Arnold kwa uchache. Listi iko ndefu sana.

  Na wamepanga kuendesha kampeni ya nguvu sana siku ya jumapili ya uchaguzi kuhakikisha JK anashinda.

  Mungu tusaidie na viongozi hawa wa dini wapenda pesa bila kuangalia maslahi ya Taifa na Watanzania, watu wanaojali matumbo yao kuliko utu wa Watanzania na vizazi vyao.
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,838
  Likes Received: 11,956
  Trophy Points: 280
  Watu wengine ukikosa cha kuandika ni bora usome mawazo ya wenzako, sasa wamenunuliwa na jumapili wanapiga kampeni ya nguvu wapi hujui jumapili ni siku ya uchaguzi halafu Shekhe Mohamed Idd Mohamed atapigia kampeni kanisa gani hiyo jumapili, acha uongo wewe.
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nazungumzia viongozi wa dini ya kikristo walionunuliwa wewe, subiri asubuhi nenda meza ya magazeti kisha ndo uje u comment hapa!
   
 4. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu JK bado ni incumbent president, kukutana na viongozi wa dini Ikulu hilo sio tatizo.. Hayo magazeti yasikupe shida watanzania ni waelewa sana na siamini kama watayumbishwa na habari za magazetini....Cha msingi ni kuwa wale tulio na imani na CHADEMA tuitumie siku ya jumamosi kupiga kampeni kwenye daladala, masokoni na kumake SMS na calls to our beloved ones tukiwakumbusha waamke mapema jumapili ili tukakomboe nchi yetu toka mikononi mwa wezi wachache.
   
 5. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  punguza hofu mzee, tupige kampeni za lala salama, magazeti acha waandike wanachotaka
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Well said
   
 7. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ila ushawishi wanaouandaa ndo unanitia mashaka wapo wakristo upepo watakaofuata mkumbo
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
 9. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
 10. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Slaa anagombea kuwa rais wa waTz wote, hiyo hofu ya watu kufata mkumbo iko dunia nzima kwenye chaguzi, hawa huwa wanaitwa "undecided voters" tunachotakiwa kama nilivyoshauri hapo juu cha maana ss tuendelee na kampeni hadi dkk ya mwisho kuhakikisha kila mtanzania anampigia kura Slaa. Slaa anagombea urai wa watanzania, wote bila kujali dini/makabila yao.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hoja ya kipuuzi kabisa hii.
  Kwa taifa lililoharibiwa na mfumuko wa magazeti ya udaku na habari za kipuuzi za kupendelea watawala usidhani kuwaachia ndio suluhisho.
  Ni lazima kuyakemea maovu hata kama haki ni nyingi kuliko uovu
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hivi wewe mamluki mbona unashikilia hoja moja tu??? eti tusihofu kwa kuwa watanzania ni waelewa basi magazeti yaachwe yaandike yapendavyo. Unajua ni nani anaandika hizo ishu???
  Wewe ni spinner kama wenzako waliotumwa humu.
  Go forth and multiply
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu
  ulichikiandika ni sahihi na adili kabisa. ila ogopa hawa wanaokuaminisha kwamba hakuna madhara ya hao viongozi kuhongwa. Fahamu kwamba hapa jukwaani kuna wengine wanapiga kelele mpaka povu linawatoka wakikemea ufisadi lakini hawana tofauti na mbatia na mrema. Ni malaya wa kifisadi yaani wametumwa kufanya walichotumwa hapa.
  Usiwe mwepesi wa kukubaliana na hoja nyepesi
   
 14. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu sosi iliyonipa hii inshu ni ya uhakika na jamaa hawa wa dini wanapiga kampeni kumwinua JK kwa nguvu zao zote, hawa wanaokataa waangalie mbao za magazeti asubuhi wataamini hiki ninachokisema
   
 15. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  watu wanatoa magazeti mara mbilimbili wakati ni magazeti ya wiki nastori zao ni za kumsafisha JK
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  WA NDIMA hayo magazeti yanaishia mjini tu, aliyepo kijijini atalisoma wiki moja badae wkt uchaguzi umeisha na dr.slaa amesha apishwa, so dont be worry.
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  WANDIMA, upo sahihi kabisa. hawa ni viongozi wa dini ambao walisimama na kusema kwamba hawana sides hapo jana kupitia umoja wao. Ila wanataka kutumia tatics ya mwisho kwa kuwarubuni kondoo zao wakatumikie rushwa walizopokea.

  Natoa pole kwa jeikei kwa yatakayomkuta kwenye sanduku la kura
   
 18. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  roho inaniuma kuona wanauza utu wa watanzania kwa vipande vya fedha
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu watu wanapohitaji mabadiliko hakuna wakuwanunua, mchungaji anaenunuliwa hawezi kuwanunua waumini maana atakosa hata hizo sadaka zao, watahama na kanisa lenyewe. siku hizi makanisa ni kama vyama vya siasa, ukiona mhubiri wako analeta maslahi binafsi unammwaga unaenda kwa mwingine.
   
 20. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila mti uliokumbatiwa uliteleza na hata sasa bado hakuna wa kumzuia mungu asilete mabadiliko tanzania.
   
Loading...