Watu ambao tayari Wana milengo watamkemea nani? Binafsi napenda kushauri next time, viongozi wa dini wawe mbali na wanasiasa na hata watawala ukipenda! Hii habari ya kwenda majukwaa ya siasa na kuomba Kama tunavyoona ni hatua inayowapelekea kupoteza uhalisia wa kazi zao, kuigawa Jamii, na hata wao kutoaminika tena kwenye Jamii.
Watumishi wa Mungu wa kweli hukaa mbali na watawala( social distancing) ili wabaki na mamlaka ya kimaadili( moral authority) ya kuwakemea watawala au wanasiasa wanapofanya vibaya. Wao huitwa the mouth piece of God. Tujiulize Sasa, how can you be God's mouth piece while being in the middle of partisanship or political leaders contemporaries rather?