Viongozi wa Dini kusapoti madikteta/viongozi katili sio suala geni

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,517
8,760
Ukisoma Historia hasa ya watawala mbalimbali utagundua kwamba walikuwa suppoted sana na viongozi wa Dini. Adolf Hitler alikuwa anaungwa mkono na Viongozi wa dini na wapo kabisa walio sema kwamba alikuwa ni Chaguo la Mungu.

Ukienda Argentina Juan Domingo Peron huyu alikuwa ni Dikiteta katili mno na alikuwa na sappoti kubwa sana ya viongozi wa Duni.

Mobutu alikuwa na sapoti ya viongozi wa duni

Kwa kifupi Viongozi wa Dini kusapoti Watawala katili sio swala geni, Dini imetumika sana kuhalalisha ukatili sehemu mbalimbali za Dinia.

Hawa wakina Kakobe and Company wanacho kifanya kisha fanywa sana Duniani hivyo tusishangae kabisa.
 
When the country was under democratic rule, but in the tyranny regime where intimidation is the rule of the day from Jiwe, then Kakobe and company have succumbed to tyrant's intimidations!
 
Ukisoma Historia hasa ya watawala mbalimbali utagundua kwamba walikuwa suppoted sana na viongozi wa Dini. Adolf Hitler alikuwa anaungwa mkono na Viongozi wa dini na wapo kabisa walio sema kwamba alikuwa ni Chaguo la Mungu.

Ukienda Argentina Juan Domingo Peron huyu alikuwa ni Dikiteta katili mno na alikuwa na sappoti kubwa sana ya viongozi wa Duni.

Mobutu alikuwa na sapoti ya viongozi wa duni

Kwa kifupi Viongozi wa Dini kusapoti Watawala katili sio swala geni, Dini imetumika sana kuhalalisha ukatili sehemu mbalimbali za Dinia.

Hawa wakina Kakobe and Company wanacho kifanya kisha fanywa sana Duniani hivyo tusishangae kabisa.

Hata Dictator Mussolini aliwatumia sana viongozi wa kanisa Katoliki kukaa madarakani, hatimaye kugeuka kuwa mmoja wa madictator hatari sana hapa duniani. Haya tunayoyaona sasa hapa nchini ni muelekeo huo huo.
 
Back
Top Bottom