Viongozi wa dini walikutana juzi, hawa kina Mussa na Gwajima ni Wajasiriadini.
Ufipa mnaye shehe majini!huyo sheikh ubwabwa ni msemaji wa serikali??
Hawa ni wahuni tu hakuna dini hapoViongozi wa dini walikutana juzi, hawa kina Mussa na Gwajima ni Wajasiriadini.
Yanakwenda kuongea mambo ambayo hata wao wanajua asilimia 80% ya wafuasi wao hawakubaliani nao.Hawa ni wahuni tu hakuna dini hapo
Yule Sheikh Majini angepaka rangi za kijani na njano kwenye yale mandevu yake lazima wajumbe wote mmngempitisha kwenye kura za maoni.Ufipa mnaye shehe majini!
Hahahaaaa...... sliambulia kura 6 pamoja na majini yake!Yule Sheikh Majini angepaka rangi za kijani na njano kwenye yale mandevu yake lazima wajumbe wote mmngempitisha kwenye kura za maoni.
alishindwa nini kuyamuru majini yake yampe kuraYule Sheikh Majini angepaka rangi za kijani na njano kwenye yale mandevu yake lazima wajumbe wote mmngempitisha kwenye kura za maoni.