Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini kukutana Jumatatu kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano

Viongozi wa dini walikutana juzi, hawa kina Mussa na Gwajima ni Wajasiriadini.
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
nasubiri kuona kiongozi yeyote wa dhehebu langu analeta pua yake kwenye kongomano hilo.

kama kuna kiongozi yeyote wa dhehebu langu amepanga kuhudhuria, basi aanze kufungasha rambo zake kurudi zake huko bush kwao kwani atakuwa amejifukuzisha kazi/huduma mwenyewe.

kwa hiyo, ewe kiongozi wa dhehebu langu unayenisoma sasa humu JF waambie viongozi wenzio kwamba hatuwafokei bali HABARI NDIYO HIYO.

uchaguzi ni wenu!
 
Viongozi maslahi. Sio viongozi wa dini hao. Walishindwa kuongelea watu kupotea, walishindwa kuongea maiti kwrnye viroba, walishindwa hata kukemea watu walipi taka kumuomvea Lissu apone.

Ati leo kuelezea mafanikio ya JPM. These guys are not serious.. Pia wao walisha katazwa kufanya siasa waka kaa kimya. Leo wana pewa mdhiko ati mafanikio. Mtapigwa radi mchana kweupe kwa njaa zenu..
 
Yaani nyumbu wote wa humu JF wamepaniki baada kuona hilo tangazo kiasi kwamba wameshindwa hata kufuatilia ziara ya mgombea wao Lissu wala kujadili kuhusu wagombea ubunge wao waliotangazwa leo!
 
nasubiri kuona kiongozi yeyote wa dhehebu langu analeta pua yake kwenye kongomano hilo.

kama kuna kiongozi yeyote wa dhehebu langu amepanga kuhudhuria, basi aanze kufungasha rambo zake kurudi zake huko bush kwao kwani atakuwa amejifukuzisha kazi/huduma mwenyewe.

kwa hiyo, ewe kiongozi wa dhehebu langu unayenisoma sasa humu JF waambie viongozi wenzio kwamba hatuwafokei bali HABARI NDIYO HIYO.

uchaguzi ni wenu!
Pumbavu!
 
Hicho ni kikundi cha wahuni kama wahuni wengine tu! Hakuna kiongozi wa dini hapo
Aisee kundi la kihuni hapa nchini liko moja tu nalo ni la kisiasa pinzani tena chadema..hao ni wahuni wala unga, hilo ndo kundi la kihuni wanalojua waTanzania wengi bila kusema
 
Back
Top Bottom