Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini kukutana Jumatatu kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano

wanakutana kuambiana wenyewe au kuwaambia wananchi ? nilidhani muda wa kampeni bado...
 
Viongozi wa dini wanakutana kutoa tamko na kumpongeza mtu kipindi hiki cha uchaguzi? Wanatugawa!
 
Yaani hawa CCM Mpya wamejificha huku wakijibanza na kuamua kutumia jeshi la wanaojiita "viongozi wa dini".

Siasa maana yake ni kushawishi watu ktk imani za kidunia.

Je viongozi hawa wa kiimani wameamua kuacha kazi zao za kiimani na kutumika kushawishi kukienzi chama cha kisiasa cha CCM Mpya na kazi zake zote mfano kisichokemea tuhuma nyingi za ukiukwaji wa haki za kibinaadamu, ubaguzi ktk kuwatumikia wananchi, chenye hofu ya kufikirika kuwa upinzani watavunja madaraja, upinzani siyo uzalendo...

Hakika kua ujionee maajabu ya viongozi wa CCM Mpya kujinajibisha na Viongozi wa Kidini ili waweze kuelezea kinachoitwa mafanikio ya kidunia.
 
Agenda nyingine hii kapewa Lissu ya kuhutubia pale Arusha. Tusubiri kumsikia jinsi atakavyopayuka hadi mate yatakauka. Mpaka agundue kuwa anasulubishwa kisaikologia atakuwa kesha henya hasa.
 
Agenda nyingine hii kapewa Lissu ya kuhutubia pale Arusha. Tusubiri kumsikia jinsi atakavyopayuka hadi mate yatakauka. Mpaka agundue kuwa anasulubishwa kisaikologia atakuwa kesha henya hasa.
Endelee kumshabikia huyo kichaa wenu
 
Back
Top Bottom