Viongozi wa CHADEMA Wawasili nchini Ubelgiji

Viongozi wa CHADEMA Wawasili nchini Ubelgiji

Jitahidi Sana kuuficha ujinga wako:
Vyanzo vya budget au mapato ya serikali ni:
Mapato ya ndani yatokanayo na Kodi au yasiyotokana na Kodi
Misaada
Mikopo ya nje na ndani

Sasa hao Chadema ni wanausalama wantaifa kwahiyo Wana ABCD za usalama WA nchi?
Na tangu waanze kwenda huko nchi hii imeathirikaje kiusalama?
Na ni jinsi Gani Ulaya Asia na America ambako Rais wetu Naye anatembelea wamekua maadui zetu ilihali tunawaita wahisani wa maendeleo?
Anawalipa Pesa zao,na hata Bunge linaelewa kwamba Samia anakopa sana!

Lakini Samia huwa haendi Ulaya kukaa na Wazungu ili kuijadili Hali ya kisiasa Tanzania.

Mnapoenda kuijadili Tanzania kwa wazungu ni kwamba mnaenda kuzianika Siri za kiusalama kwa Tanzania mbele ya Adui.
 
muwekeze sana kwenye kutoa lecture kwa Watanzania dhidi ya yanayoendelea kwenye nchi yao, nimeona clip moja ya jamaa wa CDM amevaa shati jeusi akitoa lecture kwa wananchi pale Mtama....

Tujikite kuwaelimisha watu wapate uelewa na hasira dhidi ya CCM huko mitaani, Wazungu aka weupe wako after business na siku zote huishi kwa maslahi na huwezi kuitoa CCM kwa kuwategemea wazungu maana CCM ni chama chao.

Belgium ni tajiri sana kupitia wizi wa Almasi Africa, De Beers kutoka Belgium ndiye mmiliki wa Almasi yote duniani, hata ile Almasi inayochimbwa pale Mwadui mwisho wa siku inaangukia kwenye mikono ya De-beers pale Belgium.

Watu waUlaya hawakuelewena na JPM kutokana na sera zake kali kwenye biashara zao na investment zao za Tanzania ikiwemo kufungwa kwa migodi ya dhahabu na Almasi, ilikuwa ni lazima wampe pressure JPM kupitia vyama vya upinzani na mbinyo mahala ili ateme ndoano, Hawa wa sasa ni rafiki moja na hao wahuni wa Ulaya hivyo msitegemee kuwapa msaada kuitoa CCM.

Tuwe makini sana na Wazungu, maana huvitumia vyama vya siasa na taasisi wanazozipa misaada kama bargain power ya business zao Africa dhidi ya vyama tawala pale maslahi yao yanapobanwa.
 
umempa za uso
hayo mashoga ya ccm humu jf nitayapa za uso humuhumu mpaka yatie adabu na nitayaonyesha kuwa chadema sio chama cha mashoga kama yalivyo huko ccm yanategemea wale mbwa wao ili kudhibiti chadema maana yakiachwaa
 
tujikite kwenye kitoa lecture kama hizi mitaani watu wapate uelewa na hasira dhidi ya CCM, vijana wasambae mitaani, vijiweni kuelimisha watanzania na kuwapa morali ya kuipigania nchi yao.

Nimependa sana mikusanyiko ya hivi kutoa lecture kwa raia juu ya yanayoendelea kwenye nchi yao.
 
Mbona mwenyekiti hayupo? Huyu ni Lissu ameita watu wake ili nao wafaidi matunda ya project ya Lissu huko Ubeljiji. Yaani Lissu lazima agombee urais 2025 hata kama Chadema wakidai kujitoa. Hao wanarubuniwa na Lissu kwa sababu kwake ni project kubwa hata akijua 100% kuwa atashindwa. Wanaomfuatilia Lissu wanaona majengo anayoporomosha TZ tangu ajihamishie ughaibuni
mbona hata viongozi wa ccm wana majumba kila kona hapa tz shida ni nini?mwache aporomshe ni fursa.
 
Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Hii ni siri ya ndani sana usiiweke hadharani, delete please
 
HEBU SEMENI UKWELI, MSITUFANYE WAZEMBE SISI. HII TIMU ILIYOKWENDA UBELGIJI HAIKWENDA KUENDELEZA UUNGWAJI MKONO CHADEMA. HAPANA, CHAMA RAFIKI CHA UJERUMANI, KINAKISAIDIA CDM KWA DHATI NA HAWAJAJIRUDI.

ILA HIYO NI MBINU YA KUFICHA UKWELI WA ZAFARI YAO NA JUKUMU WALILOENDEA. UKWELI WAMEKWENDA KWA NIA NJEMA NA NZURI. WAMEENDA KUMALIZA MGOGORO ULIOPO KATI YA TEAM YA MWENYE KITI NA TEAM LISSU, TATIZO AMBALO LINEKIZOROTISHA CHADEMA KWA MUDA MIAKA 2 SASA.
Uongo hautakusaidia kuondoa umasikini ulio nao
 
Anawalipa Pesa zao,na hata Bunge linaelewa kwamba Samia anakopa sana!

Lakini Samia huwa haendi Ulaya kukaa na Wazungu ili kuijadili Hali ya kisiasa Tanzania.

Mnapoenda kuijadili Tanzania kwa wazungu ni kwamba mnaenda kuzianika Siri za kiusalama kwa Tanzania mbele ya Adui.
Kwamba Kupigania Katiba mpya ndio kutoa siri za nchi ! Halafu nyinyi masikini mna siri gani ambayo wazungu hawaijui ?
 
Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .

Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .

Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.

Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .

Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Muda ni rafiki mzuri sana,tusubiri
 
Marinda yatakoma hamna cha bure kwa mzungu( there is no free lunch)
Nenda si nasikia unakaribia kwenda kumbusu, kamsalimie baba yako jiwe yuko hivi huko kwa mashetani. wewe kijana mpuuzi sana, matusi ya nini kwa watu baba zako!
1669792315706.png
 
Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .

Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .

Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.

Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .

Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Mungu ibariki TANZANIA,

Mungu ibariki CDM. Ameeen.
 
Hongera CDM, mabadiliko ktk Nchi lazima kupata uungwaji mkono na jumuia za kimataifa.

Mwl Nyerere pia alitafuta justification ktk mataifa mbalimbali ktk kupigania uhuru hapa ndani au Kwa majirani zetu.

Mbaribiwe CDM.

Ameeeen.
 
Safari ya Sa100 ubelgiji kuona na LISSU haikuwa ridhaa yake binafsi, sirikali ilitaka kujikosha ionekane inaruhusu utawala wa DEMOKRASIA ya vyama vingi.

Issue ya KATIBA mpya itakuwa Rahisi zaidi kama Jumuia za kimataifa zitaweka MACHO yake ktk HARAKATI za wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.

Time hii CDM wanatumia macho Yao yote to LOOK and to SEE !!!!!

Ameeeen.
 
Back
Top Bottom