DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,370
- 3,467
Kugonga kwenye mshono au mkwanyuo ni kazi yangu hawana facts wanyameze hatuongea hekaya
Asante kwa ushahidi mwanana
Asante kwa ushahidi mwanana
Shida kubwa ya ccm ni kukusanya watoto wa ndugu zao na kuwapachika uvccm , hata kama wameng'olewa ubongoMkuu IPO haja ya organization ya mafunzo pale uvccm kuanzisha kitengo maalumu Cha kuwanoa hawa vijana ili waeze kujibu hoja kwa facts vinginevyo wanamuaibisha Mwenyekiti wa chama taifa kama alivyo mwashamba etwege etc. Watuambie Fedha hizi serikaki ilozopewa msaada Nani analipa au Nani analipa? Asome section iv View attachment 2431146
Wanaweza kutuambia wachina watawalipa au wanawalipa Nini kwa kuwajengea shule ya uongozi pale kibaha?Shida kubwa ya ccm ni kukusanya watoto wa ndugu zao na kuwapachika uvccm , hata kama wameng'olewa ubongo
Wenye uhitaji wa Ushoga au nini?
Haki ya mtanzania ikatafutwe Ulaya kwa Mzungu?
Wakirudi na Marinda mje mniambie niko paleeee!.....
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ni strategy nzuri sana. Kwa sababu ni dhahiri kuwa Rais Samia haonekani ana dhamira ya dhati ya kuleta demokrasia na kujenga jamii inayozingatia haki. Anachofanya ni kuuma na kupuliza, lakini dhamira haionekani.Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .
Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .
Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.
Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .
Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Marinda yatakoma hamna cha bure kwa mzungu( there is no free lunch)
Pia Chadema muelewe kwa mzungu hakuna kitu inaitwa
"FREE LUNCH"
Yote ambayo Mzungu atawasaidia,yataendana na malipo baada ya kufikia malengo yenu kwa msaada wao.
Wenye uhitaji wa Ushoga au nini?
Haki ya mtanzania ikatafutwe Ulaya kwa Mzungu?
Wakirudi na Marinda mje mniambie niko paleeee!.....
Mungu Ibariki CHADEMA [emoji1545][emoji817][emoji818]Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku kikitajwa kwamba kinaendesha shughuli zake kwa njia ya Kisasa zaidi , kiko kwenye ziara ya kikazi Barani Ulaya .
Ujumbe wa Chadema unaoongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu , umefika kwenye Kituo cha Usimamizi wa Sera na Maendeleo cha Barani Ulaya (ECDPM) na kuzungumza na maofisa wake , Ujumbe huo pia Umetembelea Mtandao wa vyama vya siasa wa Barani Ulaya (ENoP) na kukutana na maofisa wake , Pia Ujumbe huu wa Chadema umefika kwenye Wizara ya Mambo ya nje ya Ubelgiji na kuzungumza na Waziri na Maofisa wa Wizara hiyo .
Lengo la Ziara hii kabambe ni kuchagiza Msukumo wa Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania , ambako Jumuiya ya Kimataifa inaombwa kuilazimisha Serikali ya Tanzania kuheshimu Katiba ya Nchi , kwa kuachia Mikutano ya hadhara na Maandamano , ikiwa ni pamoja na kuendeleza Mchakato wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya 2025 . Chadema imestukia mchezo mchafu unaoandaliwa na Watawala kuelekea 2025.
Unaweza ukashang'aa na kujiuliza sababu hasa za Chadema kwenda Ulaya kwa ajili ya Mambo haya , Ni hivi , Wazungu ndio Wafadhili wa Nchi za kiafrica , na hasa hizi nchi masikini kama Tanzania , wakikohoa tu hakuna wa kuleta fyokofyoko , na hasa kwa nchi zinazoomba misaada sana kama ilivyo Tanzania , ambapo inafika wakati viongozi wote wa juu wanatawanyika duniani kuomba misaada .
Kwa Mfano , Viongozi wa Tanzania walipanga kwa dhati kabisa , tena bila Haya , kumfunga Maisha Gerezani Freeman Mbowe kwa kesi ya Uongo , lakini baada ya Wazungu kuingilia kati , Mbowe na wenzake waliachiwa bila masharti yoyote.
Kama nakuona moyoni unavyoumia JoNi jambo jema
Mbona mwenyekiti hayupo? Huyu ni Lissu ameita watu wake ili nao wafaidi matunda ya project ya Lissu huko Ubeljiji. Yaani Lissu lazima agombee urais 2025 hata kama Chadema wakidai kujitoa. Hao wanarubuniwa na Lissu kwa sababu kwake ni project kubwa hata akijua 100% kuwa atashindwa. Wanaomfuatilia Lissu wanaona majengo anayoporomosha TZ tangu ajihamishie ughaibuni
[emoji818][emoji1752]Kama Lisu yupo Ulaya na anaporomosha majengo hapa nchini, jiulize ww unayezeekea hapa Tanzania kwenye nyumba ya kupanga unakwama wapi?
mashoga ya ccm mnategemea polis na tume fake ili kutangazwa kuwa mmepita maana mashoga huwa hayajiwezi yalishalegezwa kila kitu yamebaki nyoronyoro kwa kila kitu hayawez kupambana na wanaume wa shoka kama chadema, mashoga ya ccm humu jf na kwingineko oyeeeee.Wenye uhitaji wa Ushoga au nini?
Haki ya mtanzania ikatafutwe Ulaya kwa Mzungu?
Wakirudi na Marinda mje mniambie niko paleeee!.....
mashoga ya ccm mnategemea polis na tume fake ili kutangazwa kuwa 0p maana mashoga huwa hayajiwez0ppppi yalishalegezwa kila kitu yamebaki nyoronyoro kwa kila kitu hayawez kupambana na wanaume wa shoka kama chadema, mashoga ya ccm humu jf na kwingineko oyeeeee.Wenye uhitaji wa Ushoga au nini?
Haki ya mtanzania ikatafutwe Ulaya kwa Mzungu?
Wakirudi na Marinda mje mniambie niko paleeee!.....
hayo mashoga ya ccm humu jf nitayapa za uso humuhumu mpaka yatie adabu na nitayaonyesha kuwa chadema sio chama cha mashoga kama yalivyo huko ccm yanategemea wale mbwa wao ili kudhibiti chadema maana yakiachwaa pekeake hayawez kupambana na chadema kwa kuwa yalishalegezwa sphincter muscles huko ccm chama la majiz ya kura.umempa za uso
Anawalipa Pesa zao,na hata Bunge linaelewa kwamba Samia anakopa sana!Samia anavyosaidiwa huwa anawalipa nini ?
Kama utatusaidia kutupa ABCD za chanzo Cha mgogoro huo na athari zake wazi wazi pamoja na agenda na maazimio ya vikao hivyo whilst Mbowe hayuko Kwenye hicho unachokiita maridhiano!HEBU SEMENI UKWELI, MSITUFANYE WAZEMBE SISI. HII TIMU ILIYOKWENDA UBELGIJI HAIKWENDA KUENDELEZA UUNGWAJI MKONO CHADEMA. HAPANA, CHAMA RAFIKI CHA UJERUMANI, KINAKISAIDIA CDM KWA DHATI NA HAWAJAJIRUDI.
ILA HIYO NI MBINU YA KUFICHA UKWELI WA ZAFARI YAO NA JUKUMU WALILOENDEA. UKWELI WAMEKWENDA KWA NIA NJEMA NA NZURI. WAMEENDA KUMALIZA MGOGORO ULIOPO KATI YA TEAM YA MWENYE KITI NA TEAM LISSU, TATIZO AMBALO LINEKIZOROTISHA CHADEMA KWA MUDA MIAKA 2 SASA.