Kwani utaratibu unasemaje? tujaribu kupima ili tutakapohukumu iwe thabiti, kwani piga ua garagaza CCM ipo hoi, na staili hizo za kale wanazojaribu kutka kuzi apply haztafanikiwa, kwani watanzania wa sasa hawana cha kupoteza, umaskini ndio umaskini kuna wengine hata wanatamani kufa kutokana na ukatili unaotekelezwa na CCM, watumishi wa umma wamekuwa vibaka wanaiba kila fungu litakalopita mbele yao.
Bajeti imepitishwa miezi miwili iliyopita leo hii mishahara inakosekana fedha zinamalizia hoteli za vigogo, je mwezi wa nne mwakani hali sijui itakuwaje? ndio fedha zimeshakwisha kabla.